Wednesday , April 24 2019

Home / 2018 / March / 17

Daily Archives: March 17, 2018

DK.MWIGULU NCHEMBA AWACHANA WANAFUNZI NA HARAKATI ZAO ZA SIASA

index

Waziri wa Mambo ya ndani, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi kuachana na harakati za kutengeneza  taswira mbaya za serikali  badala yake kuwa na mitazamo chanya. Aliyasema hayo jana katika kongamano la UNILIFE lililofanyika Chuo cha Biashara (CBE), ambalo liliandaliwa na Mbunge wa Viti maalum, Ester Mmasi. Alisema wanafunzi hawatakiwi kufanya …

Read More »

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KUJADILI MIKAKATI YA JESHI LA MAGEREZA KUJITOSHELEZA KWA CHAKULA

PIX 3

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dkt. Juma Malewa, akisalimiana na Kamishna wa Utawala na Fedha wa Magereza, Gaston Sanga  mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Nanenane, Mkoani Mororogoro tayari kwa Kikao Maalum cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi hilo. Kikao hicho kimefanyika kwa siku moja leo 17 Machi, 2018 …

Read More »

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE

3

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Kangi Lugola akisalimiana na Bw. Dotto Roman Selasini  Afisa Uhamiaji wa Wilaya ya Iramba mara baada ya kuwasili katika Mgodi wa Senkenke One ulipo katika Kijiji cha Nkonkilangi, Kata ya Ntwike, Tarafa ya Shelui, Wilaya ya Iramba akiongozana na Kamati ya Kudumu …

Read More »