Wednesday , April 24 2019

Home / 2018 / March / 18

Daily Archives: March 18, 2018

MAN UNITED YAPEWA SPURS NUSU FAINALI YA KOMBE LA FA

4A4C076B00000578-5515813-image-a-51_1521400762218

TIMU ya Manchester United itamenyana na Tottenham Hotspur Uwanja wa Wembley katika Nusu Fainali ya Kombe la FA England itakayozikutanisha timu hizo kali. Chelsea, iliyoifunga Leicester City 2-1 katika mechi iliyodumu kwa dakika 120 leo, itamenyana na Southampton katika Nusu nyingine ya michuano hiyo. Mechi zote hizo mbili zinatarajiwa kuchezwa kwenye Uwanja wa …

Read More »

MWANAFUNZI UDOM AOMBA MSAADA

MWANAFUNZI UDOM

MWANAFUNZI wa Shahada ya Sheria mwaka wa Kwanza katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),Amaniel Furahini(21) ameiomba serikali na watanzania kumsaidia kulipa ada ili aweze kuendelea na masomo yake. Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Dodoma, Mwanafunzi huyo amesema amekuwa akisoma katika mazingira magumu kutokana na kukosa ada huku akidai …

Read More »

MAGARI 50 YA WAGONJWA YAGAIWA KWA HALMASHAURI.

1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo (Mb) akimkabidhi moja ya gari la wagonjwa aina ya Suzuki Maruti, Ashura Nkya ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Babati katika bandari ya Dar es Salaam jana. Baadhi ya magari aina ya Suzuki Maruti ambayo Mhe. Rais …

Read More »

TAMISEMI YAKUSUDIA KUBORESHA ELIMU YA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

pix 01 naibu katibu mkuu

Naibu Katibu Mkuu (ELIMU) Ofisi ya Rais TAMISEMI, Tixon  Nzunda akifungua mafunzo kwa walimu wa shule zenye  wanafunzi wenye mahitaji maalumu  , Maofisa wa Ustawi wa Jamii na  Maofisa Elimu Maalum ngazi za wilaya na Mikoa yote ya Tanzania Bara mjini Morogoro jana.  Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ambao ni walimu wa shule zenye  wanafunzi wenye mahitaji maalumu  , …

Read More »

Makamu wa Rais awasili Pemba kwa ziara ya siku tatu

3

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume,Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia …

Read More »

RC MAKONDA KUVITAJIRISHA VIKUNDI VYA JOGGING DAR.

index

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametangaza mpango kabambe wa kuviwezesha vikundi vya mazoezi ya kukimbia (Jogging club) kwa kuweka utaratibu wa mashindano  ya kila Mwisho wa Mwezi ambapo kikundi kitakachoshinda kitapatiwa kiasi cha shilingi Million 10 Kama mtaji wa kufanya shughuli za kujikwamua kiuchumi. Hatua …

Read More »

WADAU WA KILIMO KUTOKA SEKTA BINAFSI WAIOMBA SERIKALI KUTUNGA SHERIA YA UTAMBUZI WA MFUMO USIO RASMI WA UZALISHAJI MBEGU

1.

Muwezeshaji wa mafunzo kutoka Shirika la TABIO, Abdallah Mkindi akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali kwa wadau wa kilimo katika sekta binafsi kutoka Mikoa 13 nchini wakati wa mafunzo yaliyofanyika mwishoni Mkoani Morogoro na kuandaliwa Shirika la PELUM Tanzania kupitia ufadhili wa Bread For the World. Washiriki wa mafunzo toka Mikoa …

Read More »

MPINA ALIA NA WANAODANGANYA CHAPA

bbb

   Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (mwenye kofia) akimshika mkia ng’ombe kuangalia kama amepigwa chapa alipotembelea mnada wa Kizota nje kidogo ya mji wa Dodoma leo ambapo ametoa tathimini ya upigaji chapa unaoendelea nchini.  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdalah Ulega(aliyenyosha mkono)akimwonyesha  Waziri wa Mifugo na …

Read More »

MKOA WA PWANI WAPOKEA MBEGU BORA ZA MAHINDI WEMA 2109

IMG_1879

 Ofisa mradi wa Mbegu za Mahindi yanayostahimili  Ukame ya Wema 2109  kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia Jukwaa na Bioteknolojia kwa Maendeleo ya Kilimo (OFAB), Bestina Daniel, akizungumza wakati wa uzinduzi wa shamba darasa la mbegu hiyo katika Kijiji cha Kilemela kilichopo Kata ya Kerege wilayani Bagamoyo jana. …

Read More »

RC MWANZA ATAKA WANANCHI WAELIMISHWE KUHUSU BIMA YA AFYA

BMG-1-640x400

Judith Ferdinand, BMG Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amewataka Wenyeviti wa Halmashauri na viongozi mbalimbali wa mkoa kuweka utaratibu wa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhumi wa bima ya afya. Aliyasema hayo jana kwenye kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa (RCC) kilichohudhuliwa a viongozi mbalimbali wa Serikali …

Read More »

SUMATRA KUANZA SAFARI MPYA ZA MABASI MADOGO JIJINI MWANZA

BMG-2-660x400

Judith Ferdinand,  BMG Abiria wanaotegemea usafiri wa barabara katika eneo la Usagara wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, wanatarajia kupata neema ya usafiri wa moja kwa moja katikati ya Jiji la Mwanza. Hayo yalisemwa jana na Afisa Leseni na Mkaguzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) mkoa …

Read More »

TANROADS IMEJIPANGA KUWALIPA WAKANDARASI KWA WAKATI

5

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey Mwanry akisisitiza umuhimu wa wananchi kulinda miundombinu ya barabara katika kijiji cha Imalamakoye katika jimbo la Urambo wakati wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu walipokagua ujenzi wa barabara Tabora- Urambo-Kaliua inayojengwa kwa kiwango cha lami, kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na …

Read More »

GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

01

 Wasamaria wema wakiwa wamewabeba watoto waliogongwa na gari la mizigo katika makutano ya Barabara ya Nyerere na Ulongoni, eneo la Kituo Kipya, Gongo la Mboto, Dar es Salaam leo. Na Richard Mwaikenda, GOMS WATOTO wawili wamegongwa na gari la mizigo  katika ajali iliyotokea mchana wa leo  katika makutano ya Barabara …

Read More »