Wednesday , April 24 2019

Home / 2018 / March / 19

Daily Archives: March 19, 2018

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Ricardo Tadeu Rais wa Kampuni ya Anheuser-Busch InBev katika ukanda wa Afrika ambao ni Wanahisa wakuu wa Kampuni ya Bia ya Tanzania Breweries Ltd kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa …

Read More »

HOTUBA YA RAIS WA TFF KARIA,ALIPOZUNGUMZA NA WAHARIRI WA HABARI ZA MICHEZO

karia

UTEKELEZAJI WA TFF KATIKA MAENEO MBALIMBALI Ndugu Waandishi wa Habari,Sekretarieti ya TFF, Watanzania wote wanaotuangalia na kutusikiliza,mabibi na mabwana habari za asubuhi.  Naomba nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kukutana mahali hapa siku ya leo tukiwa wazima wa Afya,Lakini pia nichukuwe nafasi hii kuishukuru Serikali ya awamu ya Tano …

Read More »

MKUTANO WA NNE WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA ZAPSWU

1

Mwenyekiti wa Chama cha Wafayakazi wa Sekta ya Umma Zanzibar akizungumza machache na kumkaribisha mgeni Rasmi katika kikao cha Baraza kuu la nne la Chama hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafayakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania TALGWU Obadia Mwakasitu …

Read More »

WAZAZI WALEENI WATOTO WENU KATIKA MAADILI NA TAMADUNI ZA KITANZANIA

DSC01022

 Naibu Katibu Mkuu Wazazi ccm Tanzania bara Godfrey Mheluka akiwa anawahutumia wananchi waliouthuria katika kongamano la kujadili maadili mema   na uzalendo  ni ustawi wa Arusha yetu na Taifa letu  kwa ujumla ,kongamano lililoandaliwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)mkoa wa Arusha ,kongamano ambalo lilishirikisha wananchi ,viongozi wa …

Read More »

JESHI LA MAGEREZA LAINGIA MAKUBALIANO YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WAFUNGWA NA ASASI YA TECHNOSERVE, JIJINI DAR

PIX 2

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,  Dkt. Juma Malewa(meza kuu mbele) akisaini Mkataba  wa makubaliano baina ya Asasi ya TECHNOSERVE katika mradi wa mafunzo ya ujasiriamali kwa Wafungwa waliopo magerezani. Kulia ni Meneja Mkazi wa Asasi ya hiyo Bw. Monsiapile Kajimbwa akisaini mkataba huo.  Hafla fupi ya  utilianaji saini Mkataba …

Read More »