Friday , January 18 2019

Home / 2018 / March / 20

Daily Archives: March 20, 2018

ZIARA YA NAIBU WAZIRI SEKTA YA UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATASHASTA NDITIYE OFISI ZA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA VISIWANI ZANZIBAR

IMG_8026

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye, akisalimiana na Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Hassan Mwang’ombe (wa pili kushoto), alipowasili Uwanja wa Ndege wa Zanzibar kwa ziara ya kikazi katika taasisi za Mawasiliano Zanzibar jana. Kushoto ni Mkuu wa …

Read More »

KAMATI YA LAAC NA PAC ZAPEWA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO

SINGIDA CAG 1

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad akijibu hoja za Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), baada ya wajumbe hao kupatiwa semina kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu ukaguzi. Semina hiyo imefanyika katika …

Read More »

WAZIRI MKUU ATAKA SULUHISHO LA MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA

????????????????????????????????????

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri wa Afya kutoka nchi tisa za Afrika kutoa mapendekezo ya namna ya kutokomeza magonjwa yasiyo ambukiza kwa wakuu wa nchi hizo ili yafanyiwe kazi. Aliyasema hayo jana jioni (Jumatatu, Machi 19, 2018) wakati akifungua Mkutano wa 65 wa Mawaziri wa Afya kutoka nchi …

Read More »

WAZAZI TUSIGEUZE KITEGA UCHUMI WATOTO WA KIKE/TUWASOMESHE -MSIMBE

3

Mwenyekiti wa muungano wa akinamama wa mkoani Pwani ,(Pwani Generation Queens ),Betty Msimbe akizungumza wakati walipotembelea kituo cha kulelea watoto yatima cha Buloma kilichopo kata ya Sofu,Pichandege wilayani Kibaha Mwenyekiti wa muungano wa akinamama wa mkoani Pwani ,(Pwani Generation Queens ),Betty Msimbe (wa kushoto ) akimkabidhi vyakula na vifaa mbalimbali matron …

Read More »

MUHIMBILI YAPOKEA MSAADA WA VITANDA NA MAGODORO

0003

Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Julieth Magandi akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kabla kukabidhiwa vitanda 14 na magodoro 12 ambayo yametolewa na Australia Tanzania Society. Kulia ni Mkurugenzi wa Australia Tanzania Society, James Chialo na kushoto ni Mkuu wa Idara ya …

Read More »

VIDEO..WAZIRI MKUU ATOA MSAADA KWA MJASIRIAMALI MLEMAVU

PMO_9114

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemkabidhi Bibi Tecla Hamidu ambaye ni mlemavu wa miguu sh. milioni tano ili aweze kuongezea katika mtaji wake. Ametoa fedha hizo leo (Jumanne, Machi 20, 2018) ikiwa ni katika kutimiza ahadi yake aliyoitoa Februari 22, 2018 kwenye Mkutano wa Sita wa Wamiliki wa Viwanda na …

Read More »

DIDIER DESCHAMPS-POGBA ‘HANA RAHA’ OLD TRAFFORD

_100488134_d9357b90-99c0-465f-a868-952eab99b1f4

Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps, amesema kuwa Paul Pogba hatoweza kuwa na furaha kwenye kikosi cha Manchester United. Paul Pogba yuko kwenye kikosi cha Ufaransa kitakachokuwa kinacheza michezo ya kirafiki dhidi ya Colombia na Russia. “Nina uhakika nitajua mengi kutoka kwake, lakini kwa namna hali ilivyo …

Read More »

MAWAKALA WA TIGO PESA NCHI NZIMA WAENDELEA KUJISHINDIA ZAWADI

E86A0978

Mkurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Tigo ,Kanda ya Kaskazin,Henry Kinabo akimkabidhi wakala wa Tigo Moshi mjini ,Hassan ,mfano wa Hundi ya Shilingi Milioni Mbili kwa kuibuka mshindi wa pili wa Promosheni ya Mawakala wa Tigo kwa kanda ya Kaskazini. Promosheni hii inawahusu Mawakala zaidi ya …

Read More »

INFINIX KUZINDUA SIMU YENYE KAMERA BORA

2

  HOT S3 ni toleo jipya kabisa kutoka kampuni ya simu za mkononi Infinix ambalo inatarajiwa kuwa na uwezo mkubwa wa kupiga picha za mbele kwa kutumia kamera yenye mega-pixel 20 yenye teknolojia mpya ya “low-light selfie” inayomuwezesha mtumiaji kupiga picha hata katika mwanga hafifu. Simu hiyo inatarajiwa kuzinduliwa mwanzoni …

Read More »

UCSAF YAPEWA SIKU 14 KUWASILISHA RIPOTI YA HALI YA MAWASILIANO PEMBA

JPEG. NA. 6

Meneja Ofisi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Zanzibar, Bi. Esuvatie-Aisa Masinga akitoa taarifa ya hali ya mawasiliano Zanzibar kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kushoto) wakati wa ziara yake kisiwani humo Meneja Msaidizi Mtandao wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Zanzibar Bwana Mohamedi …

Read More »

WANAWAKE KUPEWA KIPAUMBELE MIRADI YA UJENZI

????????????????????????????????????

Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Morogoro Mhandisi Moses Kiula, akizungumza na waratibu wa shughuli za ushirikishwaji wa wanawake (hawapo pichani), kutoka mikoa yote ya Tanzania bara, mkoani Morogoro, wakati wa ufunguzi wa semina elekezi  kwa ajili ya kuwajengea ujuzi, uwezo na njia mbadala za kuongeza idadi …

Read More »

Taarifa Ya Tafiti Mbalimbali Zilizofanywa Na Wizara Ya Habari Kuhusu Urithi Wa Ukombozi Kuwasilishwa Kwa Mawaziri Wa Utamaduni wa nchi za Kusini mwa Afrika

Pix 5

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe. Paul Ntinika (kulia) wakati wa ziara yake leo Mkoani Mbeya kutembelea maeneo ya urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison …

Read More »