Wednesday , December 19 2018

Home / MCHANGANYIKO / KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAKAGUA UJENZI WA OFISI ZA UHAMIAJI MKOANI MTWARA

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAKAGUA UJENZI WA OFISI ZA UHAMIAJI MKOANI MTWARA

IMGL5386

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (kushoto) akisalimiana na afisa uhamiaji Mkoa wa Mtwara, James Mwanjotile (kulia) wakati kamati hiyo ilipoenda kukagua ujenzi wa ofisi za uhamiaji Mkoa wa Mtwara leo tarehe 19 Machi, 2018 Mkoani Mtwara.

IMGL5387

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (kulia) akipokelewa na katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kushoto) wakati kamati hiyo ilipoenda kukagua ujenzi wa ofisi za uhamiaji Mkoa wa Mtwara leo tarehe 19 Machi, 2018 Mkoani Mtwara.

IMGL5444

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (katikati) akisisitiza jambo pale kamati hiyo ilipokuwa inakagua ujenzi wa ofisi za uhamiaji Mkoa wa Mtwara leo tarehe 19 Machi, 2018 Mkoani Mtwara.

IMGL5205

Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama wakimsikiliza kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara (hayupo kwenye picha) akizungumza wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa katika kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

IMGL5355

Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Salum Rehani akizungumza jambo wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mkoani Mtwara.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE

About Alex

Check Also

02

Wachuuzi wa Soko la Samaki Bagamoyo Wamuangukia Mbalawa

  Na.Stahmil Mohamed wachuuzi wa samaki katika soko la samaki wilayani bagamoyo wamemuomba waziri maji …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

2 × 3 =