Monday , October 15 2018

Home / MCHANGANYIKO / KAMATI YA LAAC NA PAC ZAPEWA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO

KAMATI YA LAAC NA PAC ZAPEWA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO

SINGIDA CAG 1

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad akijibu hoja za Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), baada ya wajumbe hao kupatiwa semina kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu ukaguzi. Semina hiyo imefanyika katika Ofisi za Ukaguzi Mkoa wa Iringa.

SINGIDA CAG 2

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), wakifuatilia mada katika semina iliyohusu masuala mbalimbali yanayohusu ukaguzi iliyoandaliwa na Ofisi ya Mddhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

SINGIDA GAG 3

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akizungumza katika Mkutano wa Wajumbe wa Kamati hiyo pamoja na Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) wakati Kamati hiyo ilipokutana na Watendaji wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mkoani Singida.

About Alex

Check Also

Mwakyembe+pic

Wadau wataka Kiswahili kitumike kama Lugha ya Kufundishia

Na Shamimu Nyaki – WHUSM Wadau mbalimbali wameishauri Serikali kufikiria namna ya kutumia lugha ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

3 × two =