Monday , October 15 2018

Home / MCHANGANYIKO / MKUU WA WILAYA YA MTWARA EVOD MMANDA AFUNGUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI MJINI MTWARA

MKUU WA WILAYA YA MTWARA EVOD MMANDA AFUNGUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI MJINI MTWARA

vo1

Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bw. Evod Mmanda akifungua kongamano la wajasiriamali katika ukumbi wa chuo cha ualimu Mtwara lililofadhiliwa na shirika la VSO. Lengo la kongamano hilo ni  kuwajengea wajasiriamali hao  uwezo na utayari wa kukamata fursa zitakazotokana na ugunduzi wa gesi unaoendelea katika mkoa huo na ukanda wa mikoa ya kusini kwa ujumla wake Kongamano hilo limefanyika leo 20.3.2018.

vo3

Wawasiliamali hao wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Mtwara Evod Mmanda hayupo pichani wakati akifungua kongamano la kuwajengea uwezo linalofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu mjini Mtwara.

vo2

Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bw. Evod Mmanda akiwa katika picha ya pamoja na wajasiriamali hao mara baada ya kufungua kongamano hilo mjini Twara leo.

About bukuku

Check Also

3

MKUTANO WA KIHISTORIA NA WA KWANZA KATI YA MAHAKAMA YA TANZANIA, MADALALI NA WASAMBAZA NYARAKA ZA MAHAKAMA WAFANYIKA MJINI MOROGORO

Jaji Kiongozi, Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akifungua Mkutano wa Mashauriano kati …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

twenty − thirteen =