Monday , February 18 2019

Home / 2018 / March / 21

Daily Archives: March 21, 2018

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU WA KAMPUNI YA TIGO, PIA AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA KAMPUNI YA FERROSTAAL KUTOKA UJERUMANI NA DENMARK IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mauricio Ramos Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Millicom International Service LLC (wanne kutoka kushoto)ambayo inamiliki Kampuni ya simu ya Tigo aliyefika Ikulu pamoja na ujumbe wake. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa …

Read More »

TUNAACHA YA KUJIFUNZA TUNAKUMBATIA YA KUTUANGUSHA

29425661_1600305220055599_8764682592703692001_n

Na.Imani Kelvin Mbaga,Dar es salaam Tayari michuano ya vilabu barani Afrika imefika patamu, huku ukanda wa CECAFA tukiwa bado tunalia na matatizo yetu yaleyale, safari hii KCCA ya Uganda wakipenya ktk hatua ya makundi klabu bingwa Afrika na kufanyika kuwa wakombozi wa ng’ambo kwa soka la ukanda wetu Jumla ya …

Read More »

MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI (MOCU) PROF ,FAUSTINE BEE AZINDUA NA KUONGOZA WATUMISHI WENZAKE WA CHUO HICHO KATIKA ZOEZI LA UPIMAJI WA HOMA YA INI

IMG_5634

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mosi (MoCU) Prof ,Faustine Bee akizungumza wakati wa uzinduzi wa Upimaji wa Homa ya Ini kwa Watumishi wa Chuo hicho pamoja na Wategemezi wao, zoezi ambalo linafanyika katika kituo cha Afya kilichopo chuoni hapo .  Baadhi ya Wauguzi wanaohudumu katika kituo hicho fcha …

Read More »

JAJI KIONGOZI AWAFUNDA MAHAKIMU WAPYA

DSC05012

Jaji Kiongozi-Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Ferdinand Wambali (wa pili kulia) akiongea na jumla ya Mahakimu wapya 78 wa Mahakama za Mwanzo (hawapo pichani) walioripoti katika Ofisi za Mahakama Kuu- Kanda ya Dar es Salaam, wa pili kushoto ni Msajili-Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Ilvin Mugeta, wa kwanza kushoto ni …

Read More »