Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / March / 22

Daily Archives: March 22, 2018

MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI ZAFINYA FURSA YA MTOTO WA KIKE

IMG_20180322_145405

Afisa Maendeleo ya Jamii Mkuu Bw. Mathias Haule kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo, Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Alicia elimu ya madhara ya ndoa na mimba za utotoni kwa wanafunzi wa shule za Msingi kutoka Jiji la Tanga. Wanafunzi Nasra Nyambukah na Moza Bandawe wa Shule ya Msingi Changa wakiwakilisha wenzao kutoka …

Read More »

WIKI HII KWENYE DStv

DStv FIFA friendly games Egypt vs Portugal ads Instagram (1080px X 1080p... (1)

Ni wikiendi nyingine tena na Stering DStv anakuletea mtanange wa kombe la FA hatua ya robo fainali, upande huu ni Man united pembeni ni Brighton, mpira unawekwa kati soka lipigwe, Je Man United watachomoka na ushindi ama watalala doro tena kwa vibonde? Mimi na wewe hatujui ila tutashudia wenyewe LIVE, …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA KAMATI YA LAAC NA PAC MKOANI SINGIDA

DAY 1

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC),wakifuatilia mada kuhusu  Mtazamo wa kikaguzi kutoka kwa Mkaguzi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Ndugu Athuman Mbuttuka katika semina iliyofanyika Mkoani Singida kwa ajili ya kuwajengea uwezo wajumbe hao. …

Read More »

TUSIFANYE TATHMINI YA KUFIKIRIKA,TUACHE WELEDI UAMUE HATIMA

28167159_1572040882882033_4535712702334520246_n

Na.Imani Kelvin Mbaga,Dar es salaam   Baada ya kusubiri kwa siku kadhaa hatimaye #Welayta_Dicha wamepangiwa kucheza na Yanga katika hatua ya 32 bora kwenye michuano ya ya kombe la shirikisho barani Afrika. Kinachozungumzwa sana hivi sasa ni klabu hiyo ya #Welayta_Dicha kuitoa klabu ya #Zamalek na kufanya hicho kuwa kipimo …

Read More »

WATOTO WA WAFUGAJI WAGUSWA NA SOKO LA MIFUGO LA KIMKAKATI LONGIDO

????????????????????????????????????

……………………………………… Katika kijiji cha EWORENDEKE, kata ya KIMOKOUWA, Wilayani LONGIDO mkoani ARUSHA, kijiji hicho kipo takriban kilomita 4 kutoka Namanga, mpaka wa Tanzania na Kenya. Hapo kuna Soko la Kimkakati la mifugo Longido, linalohusika na uuzaji wa mifugo kutoka mikoa takribani 7 ya hapa nchini Tanzania. Wafugaji huuza mifugo hiyo …

Read More »

COCA COLA YAJA NA PROMOSHENI YA ‘MZUKA WA SOKA NA COKA’

MWANZA+MZUKA+1

 Maofisa wa kampuni ya Coca-Cola mkoani Mwanza, kutoka kushoto Meneja Mauzo Mkoa , Mnyamuhanga Gavana,Meneja Mauzo na Masoko Samuel Makenge na Meneja Mauzo Mwandamizi Deus Kadico, wakionyesha mfano wa chupa zenye vizibo vyenye zawadi ya promosheni ya ‘Mzuka wa Soka na CoKa’ iliyozunduliwa jijini humo. Meneja Mauzo na Masoko wa …

Read More »

Kifo cha Mwalimu Mponda wa TaSUBa chaigusa Serikali

PIX 1-1

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mkufunzi wa Sanaa katika Chuo cha Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) marehemu Mwl. John Mponda leo  kabla ya ibada ya kumuaga kwa ajili ya safari ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika Mbalizi mjini …

Read More »

WAZIRI KABUDI AMTEMBELEA MZEE WARIOBA NYUMBANI KWAKE BUNDA

IMG_20180321_093545

Mhe. Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi akichukua notes kutokana na maelezo ya mzee Warioba wakati alipomtembelea nyumbani kwake kijiji cha Nyamuswa wilayani Bunda mkoani Mara Mzee Warioba akizungumza na ugeni wa Prof. Kabudi ulipomtembelea nyumbani kwake wilayani Bunda kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Bunda mhe.Lyidia …

Read More »

WACHIMBAJI WASUBIRIA HATMA YA MAOMBI YA LESENI MIAKA MINNE SASA BILA MAJIBU WAKATI SHERIA YA MADINI YA MWAKA 2010 NI NDANI YA SIKU 28

IMG_20180305_1154191

Pichani ni Eneo lililotengwa kwa ajili ya wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kata ya Changaaa ambalo mmiliki wa Kampuni ya Kidee mining alilowapora wachimbaji wadogo baada ya kupewa leseni kinyemela kwa umiliki wa eneo hilo ambalo wachimbaji teyari walitafiti tokea mwaka 2012 na sasa wanatakiwa kuwa chini ya mwekezaji …

Read More »

RAIS MAGUFULI ANATUPELEKA WAPI?

maguu

Na Emmanuel J. Shilatu 1. Anatutoa kwenye usafiri wa treni wa enzi za kikoloni unaotumia muda mrefu njiani anatupeleka kwenye usafiri wa treni wa kisasa unaotumia umeme na muda mchache njiani kusafirisha Watu wengi na mizigo mingi. 2. Anatutoa kwenye usafiri wa anga wa ndege uliokufa anatupeleka kwenye ufufuo wa …

Read More »

TAARIFA KUHUSU USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 62 WA HALI YA MAENDELEO YA WANAWAKE UNAOFANYIKA NEW YORK MAREKANI KUANZIA TAREHE 12- 23/03/2018

index

Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inataarifu umma kuwa; Tanzania sawa na Nchi nyingine wanachama wa Umoja wa Mataifa inashiriki Mkutano wa 62 wa Hali ya Maendeleo ya Wanawake unaoendelea mjini New York, Marekani kuanzia 12 – 23 Machi, 2018. Kwa mwaka 2018 Kaulimbiu ya Mkutano …

Read More »

MALAWI YAVUTIWA NA MATIBABU YA KIBINGWA MOI

MOI-Muhimbili

Na Mwandishi  Wetu Katibu Mkuu  Wizara ya Afya ya Malawi Dkt. Charles Mwansambo  ametembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) ili kupata uzoefu wa namna Taasisi hiyo inavyotoa huduma za kibobezi (super specialist). Akizungumza wakati wa ziara hiyo leo Jijini Dar es Salaam Dkt. Mwansambo amesema ametembelea MOI ili …

Read More »