Wednesday , April 24 2019

Home / 2018 / March / 23

Daily Archives: March 23, 2018

KWENYE DStv IJUMAA HII MAMBO NI MOTO NI UJERUMAN VS HISPANIA

1

  Magwiji wa kukuleta soka babkubwa, DStv, wanakuletea mechi za shika nikushike kuelekea kombe la Dunia 2018. Ijumaa hii, saa 4 na nusu usiku, Austria wanaingia dimbani kuwavaa Slovania ndani ya SuperSport 7 Wakati huo huo, Supersport 4 kutakuwa na mechi kati ya Misri na  zote zikipatikana kwenye kifurushi Bomba …

Read More »

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia Wafanya Kambi Maalum Ya Upasuaji Wa Moyo Kwa Watoto Na Watu Wazima

picha no. 1

Madaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)na wenzao wa  Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia wakifanya  upasuaji wa kuziba tundu la moyo wa mtoto leo katika kambi ya siku sita ya matibabu ya moyo inayoendelea katika Taasisi hiyo. Hadi …

Read More »

MAWASILIANO YA BARABARA YA ITIGI HADI TABORA YAREJEA

5

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa(kulia)  na Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Tabora, Mhandisi Damian Ndabalinze (kushoto) wakikagua ukarabati wa eneo Nyahua ambalo lilikuwa limekatika kwa sababu ya maji ya mvua na kusababisha kukatika kwa mawasiliano baina ya Itiga na Tabora jana wilayani Uyui. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, …

Read More »

TAMKO LA WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO UMMY MWALIMU KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIFUA KIKUU DUNIANI MACHI 24 – LEO MJINI DODOMA

????????????????????????????????????

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (MB) akisisitiza jambo mbele ya Waandishi wa Habari (Hawapo kwenye Picha), wakati wa Maazimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani, tukio limefanyika mapema leo katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dodoma. Kundi la Waandishi wa Habari likifuatilia …

Read More »

BI: JOYCE FISSOO:WAANDAJI WA FILAMU WEKEZENI KATIKA UBORA WA HADITHI

PIC 01

NA:OCTAVIAN KIMARIO WHUSM Waandaji wa filamu nchini wametakiwa kuwekeza katika kuandaa hadithi nzuri zenye kuvutia, kuelemisha na kuburudisha zitakazo washawashi wapenzi wengi wa filamu nchini kununua na kutizama filamu za Kitanzania. Hayo yamesemwa na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fissoo wakati akitoa mafunzo ya kuwajengea uwezo …

Read More »

Mama Anna Makinda Awafunda Madiwani Uongozi wa kijinsia

IMG_4266-500x410

SPIKA wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania mstaafu, Mama Anna Makinda ametoa elimu wa uongozi wa Kijinsia kwa madiwani wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam katika warsha ya siku moja iliyoandaliwa na TGNP Mtandao ikiwa na lengo la kuwajengea uwezo madiwani hao. Akizungumza katika warsha hiyo, Bi. Makinda alisema …

Read More »

TAMISEMI KUBAINI WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

moro++1

 Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro, Ernest Mkongo akifunga Mafunzo Elekezi ya kubaini watoto wenye mahitaji maalum yaliyowahusisha wataalam watambuzi hao mjini Morogoro.      Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Elimu (Elimu ya Watu Wazima), Ofisi ya Rais TAMISEMI Kassim Kaoneka akitoa neno la awali kbla ya kumkaribisha mgeni rasmi.    …

Read More »

FANYENI TAFITI ZENYE KUINUA ELIMU NCHINI-NZUNDA

1+1

 Naibu Katibu Mkuu (ELIMU) Ofisi ya Rais TAMISEMI, Tixon Nzunda akifunga Mafunzo ya Uimarishaji Stadi za Kusoma, Kuandika, na Kuhesabu (KKK) kwa wawezeshaji watakaowafundisha walimu wanaofundisha madarasa ya MEMKWA mjini Morogoro leo,  Kulia kwake ni Odilia Mushi Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Elimu (Elimu ya Watu Wazima) Ofisi ya Rais TAMISEMI na …

Read More »

KAMATENI HATA MAGARI KWA KAMPUNI ZISIZOLIPA MIRABAHA-BITEKO

BITEKIO+10

   Naibu Waziri madini Dotto Biteko(katikati mwenye kizibao chekundu) akikagua  bidhaa zinazozalishwa na mgodi wa mawe wa Udbhav international Ltd  uliopo  kijiji cha Ntyuka manispaa ya  Dodoma alipotembelea jana katika ziara yake ya kawaida  ya kikazi.      Mmiliki wa mgodi wa mawe wa China Dragon Internation .co.Ltd Sist Mganga …

Read More »

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA UKAGUZI WA VIFAA VYA KINGA NA TAHADHARI, DHIDI YA MOTO NA KUTOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA VIFAA VYA KUZIMIA MOTO VYA HUDUMA YA KWANZA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM

PIX 1

Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Sajini Edgar Mwakapala akionesha jinsi ya kuzima moto kwa kutumia blanket maalumu la kuzimia moto kwa watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala iliyopo Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam. Wakati wa mafunzo ya kinga na tahadhari dhidi ya majanga ya moto …

Read More »

MOURINHO:MTU MWENYE AKILI ZAKE ANAIELEWA HALI YA MAN UNITED

_100530253_gettyimages-933085886

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema watu wenye “ubongo” na “fikira za kuelewa mambo ya msingi” wanafahamu na kuelewa kwamba klabu hiyo imo kwenye kipindi cha mpito. Mourinho ameshutumiwa mara kwa mara kutokana na mtindo wake wa uchezaji ambao unadaiwa kutokuwa na ubunifu hata kidogo na pia kutoangazia uchezaji …

Read More »

ZIARA YA KATIBU MTENDAJI BODI YA FILAMU MKOANI SHINYANGA

PIC 03

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fissoo (kulia) akizungumza na Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Bw. Albert Msevela (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo. Bi Joyce Fissoo yupo mkoani Shinyanga kwa ajili ya uzinduzi wa Filamu ya Laana ya Mke iliyoandaliwa na kikundi cha sanaa cha Bongo …

Read More »

POLISI YATOA ONYO WANAOIBIA WATALII ZANZIBAR

1

Mkuu wa Operesheni Maalum za Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi DCP Liberatus Sabas akizungumza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Hasina Tawfiqi wakati wa Operesheni maalum ya kukabililiana na mtandao wa dawa za kulevya na uhalifu dhidi ya watalii inayoendelea katika mikoa ya …

Read More »

Mkuranga, Kibiti, Ikwiriri, Zaanza Kupata Umeme Wa Gridi

PICHA NA 2

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika kituo cha kupoza umeme cha Mbagala kilichopo jijini Dar es Saalam tarehe 22 Machi, 2018. Kulia ni Mhandisi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke, Mhandisi Alex Adam Mhandisi Mkuu wa …

Read More »

FACTS THE ECONOMIC GOT THEM WRONG ON MAGUFULI

Magufuli-1-1

By Dr. Herman Louise Verhofstadt  “A BIT like President Donald Trump, Tanzania’s president, John Magufuli, likes to fire employees on television. In November Mr. Magufuli used a live broadcast from a small town in the north of the country summarily to dismiss two officials,” this is an extract from a …

Read More »

SHIRIKA LA AGPAHI LAKABIDHI MASHINE YA KUCHUNGUZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI KWA WANAWAKE KWA WILAYANI MUHEZA

_MG_1081

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la AGPAHI, Dr.Sekela Mwakyusa kushoto akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Muheza MwanashaTumbo mashine ya kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake(cryotherapy machine) kushoto anayeshuhudia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Dkt Asha Mahita Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la AGPAHI, Dr.Sekela Mwakyusa akimpongezwa na Mkuu wa …

Read More »

SERIKALI KUWEKEZA HALI YA HEWA-PROF. MBARAWA

1

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akifafanua jambo wakati wa Siku ya Maadhimisho ya Hali ya Hewa Duniani, mkoani Dodoma, kushoto ni Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Atashasta Nditiye, wa pili Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), Dkt. Agness …

Read More »

UGONJWA WA MENO KWA WATOTO TISHIO ZANZIBAR

DSC_0006

Madaktari wa kujitolea kutoka Nchini Austria wakimpatia huduma kijana Mohammed Husein Mwanafunzi wa Skuli ya msingi ya Uzi ambae anasumbuliwa na Jino katika matibabu ya kinywa na Meno yaliotolewa na Madaktari hao katika Kijiji cha Uzi  Mkoa wa Kusini Unguja. Muakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Mohammed Said akizungumza na …

Read More »