Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / March / 25

Daily Archives: March 25, 2018

KONGAMANO LA BIASHARA LA TCCIA LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

9931c46d-d9fe-4c66-bfbe-6fd510f453a9

Kongamano la biashara lililoandaliwa na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA) limefanyika jijini Dar es salaam na kuzungumzia mambo kadha wa kadha hususani fursa katika bomba la mafuta la Tanga hadi Hoima, Huduma za fedha kurahisisha biashara za kimataifa na pia makubaliano ya biashara kati ya TCCIA na Chemba …

Read More »

MAJAMBAZI YAPORA NA KUTEKA KWANG’ANDU-RPC SHANNA

IMG_20170724_131141

Kamanda wa polisi Mkoani Pwani ,(ACP)  Jonathan Shanna akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake (hawapo pichani).(picha na Mwamvua Mwinyi ………………… Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha JESHI la polisi mkoani Pwani, linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi kati ya kundi la majambazi zaidi ya sita ambao waliteka magari na kupora mali …

Read More »

WATU 17 WATAMBULIWA KATI YA 26 WALIOFARIKI KATIKA AJALI MKURANGA

2

Hiace iliyopata ajali Mkuranga, ikiwa imeharibika vibaya baada ya kutokea ajali mbaya usiku wa kuamkia machi 25. ……………………… Na Mwamvua Mwinyi,Mkuranga WATU 17 kati ya 26 waliofariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Mkuranga Mkoani Pwani ,wametambuliwa majina yao ambapo hatua inayoendelea ni kuwakabidhi kwa ndugu zao kwa ajili ya …

Read More »

Kampuni ya Pennyroyal Kupitia Mradi Wake wa Best of Zanzibar Kwa Kushirikiana na Internalional Volunteers Oman Yakabidhi Viti na Meza Kwa Skuli ya Sekondari na Msingi Kijini Matemwe Zanzibar

DSC_0282

  Mkurungezi Mkuu wa Kampuni ya Pennyroyal Limited Brian Thomson , akikabidhi meza na viti 205 kwa Mkurugenzi wa Idara ya Elimu Msingi na Maandalizi Zanzibat Bi. Safia Rijal kwa ajili ya Skuli ya Sekondari na Msingi ya Kijini Matemwe, kupitia kitengo chake cha huduma kwa jamii Best of Zanzibar …

Read More »

TBL Group yaadhimisha Siku ya Maji Duniani 2018

????????????????????????????????????

Kampuni ya kutengeneza vinywaji ya TBL Group, iliyopo chini ya kampuni mama ya kimataifa ya ABInBev, imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali za kuboresha sekta ya maji na kuendesha kampeni za utunzaji wa vyanzo vya maji sambamba na kutumia teknolojia za kisasa zinazowesha matumizi kidogo ya …

Read More »

Rais Magufuli sikia kilio chetu

bunju

NA MWANDISHI WETU SISI ni wakazi wa Kata tano za Wilaya ya Kinondoni za Bunju, Makongo, Mbezi Juu, Mabwepande na Wazo. Sisi ni wananchi ambao tayari tulikwisha athiriwa na mradi wa bomba la maji la Ruvu Juu ambapo wakati wakipitisha mradi huo tulitakiwa kupisha mita tano kutoka katika mradi huo …

Read More »

WANAWAKE WAASWA KUCHANGAMKIA KAZI ZA BARABARA

2

Mratibu wa Kitengo cha Ushirikishwaji wa Wanawake katika kazi za barabara kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Rehema Myeya, akimkaribisha Mkuu wa Chuo cha Ujenzi, Morogoro Bw. Melkzedeck Mlyapatali, kufunga semina elekezi kwa waratibu wa shughuli za ushirikishwaji wa wanawake kutoka mikoa yote ya Tanzania …

Read More »

WATETEZI WA RASILIMALI WASIO NA MIPAKA (WARAMI) WATOA TAARIFA KUHUSIANA NA WARAKA WA MAASKOFU KKKT

_MG_9605

  Philipo Mwakibinga Mkurugenzi  wa Utafiti WARAMI akizungumza na waandishi wa habari leo wakati taasisi hiyo ilipotoa taarifa kuhusu waraka wa maaskofu wa KKKT. …………………………………………………………………….. JANA tuliona katika mitandao ya kijamii waraka wa viongozi wetu wa dini,ukizungumzia masuala mbali mbali ya nchi na mwelekeo wake huku sehemu kubwa ya waraka …

Read More »

Rekodi kibao za kuogelea za Taifa zavunjwa

1

Waogeleaji wakishindana katika staili tofauti katika mashindano ya Taifa. Na Mwandishi wetu Dar es Salaam. Mashindano ya kuogelea ya kutafuta bingwa wa Taifa yameanza kwa vishindo na waogeleaji mbalimbali wameonyesha uwezo wao mkubwa katika kusaka medali kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimaitaifa ya Tanganyika (IST), Upanga. Katika siku …

Read More »

Kichere: “Tunahitaji Waandishi wa habari za uchunguzi wa Kodi”

PICHA 16

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere akizungumza na baadhi ya Waandishi wa habari waliochaguliwa kwenda nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuhudhuria mafunzo ya uandishi wa habari za kodi yaliyoandaliwa na Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF) yatayofanyika nchini Afrika Kusini kuanzia tarehe 26 – …

Read More »