Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / March / 26

Daily Archives: March 26, 2018

UTARATIBU ULIOTUMIKA KUONGEZA MAMBO 11 YA MUUNGANO

????????????????????????????????????

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiwasilisha taarifa ya  Bajeti ya Ofisi yake kwa mwaka fedha 2017/2018 na mapendekezo ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2018/19. Taarifa iliyowasilishwa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, hii leo Mjini …

Read More »

AWAMU YA PILI YA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WAENDELEA NA MAFUNZO KUHUSU MASHAURI YANAYOHUSU KATIBA NA MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA UTOAJI HAKI

IMG_5916

Jaji Mfawishi wa Mahakama Kuu-Kanda ya Mtwara, Mhe. Jaji Fauz Twaib (kushoto) akifurahia jambo na Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama-Lushoto, Mhe. Jaji Dkt. Paul Kihwelo. Baadhi ya Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu wanaoshiriki katika Mafunzo wakiwa katika kazi ya kikundi ‘group work’, Mafunzo hayo yanafanyika AICC mkoani Arusha. …

Read More »

TPDC YAIMARISHA SEKTA YA AFYA KIDUNDAI, LUSHOTO

tpdc

Mwenyekiti wa Kijiji cha Kidundai, Ndg. Waziri Mdoe (Kushoto) akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni nne kutoka kwa mwakilishi wa TPDC, Ndg. Asiad Mrutu (Kulia). Makabidhiano hayo yalifanyika mbele ya jengo la zahanati inayoendelea kujengwa katika Kijiji hicho. Na Mwandishi Wetu. Katika jitihada endelevu za utekelezaji wa dhana ya …

Read More »