Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / March / 27

Daily Archives: March 27, 2018

VIONGOZI WA CHADEMA AKIWEMO NA MBOWE WAMEKOSA DHAMANA

mbowe

Viongozi 6 wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti Freeman Mbowe wamekosa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo maamuzi kuhusu maombi yao ya dhamana yatatolewa March 29,2018. Mbali na Mbowe, wengine ni Dk.Vincent Mashinji, John Mnyika, Peter Msigwa, Salum Mwalimu, Esther Matiko. Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na Wakili wa serikali Faraja …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

    MTU MMOJA ANATUHUMIWA KUMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA NA KITU CHENYE NCHA KALI SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI WAKE KISHA NA YEYE MWENYEWE KUJINYONGA HADI KUFA WILAYANI MAGU.   KWAMBA TAREHE 26/03/2018 MAJIRA YA SAA 12:00HRS KATIKA KIJIJI CHA MAHAHA KITONGOJI CHA MWAMTAMBI KATA YA SHISHANI TARAFA YA NDAGALU WILAYA …

Read More »

TRA YAZINDUA UTOAJI WA VITAMBULISHO KWA WAFANYABIASHARA WADOGO

PICHA 1

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kichere akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa utoaji wa vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo walio kwenye sekta isiyo rasmi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Afisa wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akimuonesha Kamishna Mkuu wa mamlaka …

Read More »

DK.SHEIN AKUTANA UJUMBE WA HUAWEI LEO

????????????????????????????????????

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia)  akisalimiana na  Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao. [Picha na Ikulu.]27 Machi 2018. Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na …

Read More »

AIRTEL YAFUNGUA OFISI WILAYA YA GAIRO

2018-03-27-PHOTO-00000472

Hatimaye Kampuni ya Simu ya Airtel yawatendea haki wana Gairo. Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Shaidi Mchembe wakati wa uzinduzi wa Ofisi ya Airtel. Kwa kiasi kikubwa mtandao wa Airtel ndio mkombozi mkubwa wa wananchi wa Gairo hasa vijijini. Bado mawasiliano  ya simu ni …

Read More »

RAIS DK,SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI

DSC_8632

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza  Balozi wa Uturuki katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Ali Davutaglu  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo wakati wa mazungumzo yao Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Balozi wa Uturuki katika Jamhuri ya Muungano …

Read More »

WATUMISHI WATANO NCAA WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUISABABISHIA SERIKALI HASARA YA DOLA ZA KIMAREKANI 35,500

IMG_20180327_102839

  Na.Vero Ignatus Arusha.   Wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA])wamefikishwa mahakamani leo kwa kosa la kuisababishia hasara serikali na kusababisha hasara ya dola za Kimarekani 35,500. Watuhumiwa waliofikishwa kizimbani na kukabilia na shitaka moja ni pamoja na Joseph Mtwala{36},John Mlambo{42},Mwahu Yunus {38},Mery Njau{38} na Catherini Edward {33}. …

Read More »

MBOWE NA VIONGOZI WATANO CHADEMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI

MAHKA-660x400

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe, na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho, wamefutiwa dhamana katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar walipokuwa wameripoti kwa ajili ya kuendelea kuhojiwa na Naibu Mkuu wa Upelelezi wa Kanda (ZCO) na kupelekwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusomewa mashitaka yanayowakabili. …

Read More »

LAAC YAAGIZA UKAGUZI MAALUMU WA MIRADI YA MANISPAA YA TABORA

LAAC3

NA TIGANYA VINCENT RS TABORA KAMATI ya Bunge Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC), imemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kufanya ukaguzi maalumu wa miradi yote ya maendeleo katika Manispaa ya Tabora ili kujiridhisha kama fedha zilizotumika katika utekelezaji wake unalingana na thamani ya mradi. Maagizo hayo yametolewa …

Read More »

RC MAKONDA:UKIMPA UJAUZITO MWANAMKE DAR UJIPANGE KWA MATUNZO

IMG-20180327-WA0083

Jopo la Wataalamu kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Maafisa Ustawi wa Jamii, Wanasheria pamoja na Askari Polisi kutoka Dawati la Jinsia  wamemuhakikishia Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kuwa wamejidhatiti vyema kuwasikiliza kinamama waliotelekezwa na hawapatiwi pesa ya matunzo ya mtoto kwenye zoezi la …

Read More »

WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA PINGO/MKOANI PWANI-RPC SHANNA

IMG_20180327_091540

Pichani wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia ambao wamekamatwa na jeshi la polisi Mkoani Pwani ,huko porini Pingo shule ,wilaya ya kipolisi Chalinze Kamanda wa polisi Mkoani Pwani, (ACP) Jonathan Shanna akizungumza kuhusiana na misako na doria zinazoendelea Mkoani humo. Picha na Mwamvua Mwinyi …………….. Na Mwamvua Mwinyi,Pwani JESHI la polisi …

Read More »

EFM YAWEKA MILIONI 300 SHINDANO LA SHIKA NDINGA

IMG_0306

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii   Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha Efm Radio, Dennis Busulwa(SEBO) amesema kampuni yake imewekeza kiasi cha zaidi Milioni 300 kwa ajili ya shindano lake la Shika Ndinga  litakalofanyika katika mikoa 6 ya Tanzania bara  na kuanza kutimua vumbi Dar es Salaam katika uwanja wa Mwembe …

Read More »

MECHI YA MBEYA CITY VS YANGA YAWEKWA KIPORO NA BODI YA LIGI

MECHI 3

Mechi namba 199 ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Mbeya City na Yanga iliyopangwa kufanyika Mei 1, 2018 kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya itapangiwa tarehe nyingine. Uamuzi wa kuipangia tarehe nyingine ni kukidhi matakwa ya Kanuni inayotaka nafasi kati ya mechi moja na nyingine isiwe chini …

Read More »

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUTOKA MKOANI MBEYA

RPC Mbeya na Meneja wa TANESCO Mbeya

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu ili kuhakikisha kuwa wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea na Oparesheni na Doria za mara kwa mara ili kudhibiti vitendo vya uhalifu pamoja na kuzuia matukio …

Read More »