Thursday , February 21 2019

Home / MCHANGANYIKO / ALIYEDANGANYA UMMA KUWA AMETEKWA ASIMAMISHWA MASOMO CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM)

ALIYEDANGANYA UMMA KUWA AMETEKWA ASIMAMISHWA MASOMO CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM)

 

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa William Anangisye, amemsimamisha masomo Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo hadi kesi yake ya kutoa taarifa za uongo mitandaoni na kudanganya kutekwa itakapomalizika.

Nondo alipewa dhamana na mahakama ya Iringa, jana Jumatatu,Machi 2018 baada ya kusota rumande kwa wiki kadhaa.

TAARIFA YA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM

About Alex

Check Also

logo

TANZANIA NA UMOJA WA ULAYA WAAZIMIA KUIMARISHA UHUSIANO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tanzania na Umoja wa Ulaya waazimia kuimarisha Uhusiano   Tanzania …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

12 − 5 =