Thursday , February 21 2019

Home / MCHANGANYIKO / DK.SHEIN AKUTANA UJUMBE WA HUAWEI LEO

DK.SHEIN AKUTANA UJUMBE WA HUAWEI LEO

????????????????????????????????????

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia)  akisalimiana na  Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao. [Picha na Ikulu.]27 Machi 2018.

????????????????????????????????????

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Huawei unaoongozwa na  Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong (wa pili kulia)  ujumbe huo ulipofika Ikulu Zanzibar  leo kwa mazungumzo. [Picha na Ikulu.] 08 Machi 2018.

????????????????????????????????????

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatnana nao (hawapo pichani). [Picha na Ikulu.]  27 Machi 2018.  

About bukuku

Check Also

3

HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE YAPITISHA BAJETI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 30

Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Hamisi Dikupatile akizungumza na wajumbe wa kikao cha …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

nine + 18 =