Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / March / 28

Daily Archives: March 28, 2018

VIJANA NCHINI WAOMBWA KUTUNZA URITHI WA ASILI YAO

DSC_0806

Na Florah Raphael. Vijana nchini wametakiwa kuupokea,kuutunza na kuuendeleza urithi wa asili yao ili kusaidia vizazi vijavyo kujua historia ya zamani wametoka wapi na wanatakiwa kwenda wapi. Hayo yamesemwa na mtunza makumbusho ya tiafa Dkt.Amandus alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari kwenye mkutano wa kujadili ni njia zipi zitumike ili …

Read More »

MAFUNZO YA WAHE. MAJAJI YAMALIZIKA

2

Kaimu Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu-Kanda ya Arusha, Mhe. Sekela Moshi akitoa hotuba ya kufunga Mafunzo wa siku tano ya Waheshimiwa Majaji yaliyokuwa yakifanyika katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha, kushoto ni Mhe. Sophia Wambura, Jaji wa Mahakama Kuu-Kitengo cha Ardhi. Waheshimiwa Majaji wakimsikiliza mgeni rasmi alipokuwa akifunga mafunzo yao rasmi …

Read More »

Waziri Mwakyembe:Nendeni Mkashindane kwa bidii mrudi na Medali

pix 1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (aliyevaa suti) akimkabidhi bendera Kapteni wa Timu ya Taifa ya Tenisi Bw.Masoud Mtalaso leo jijini Dar es Salaam kwa niaba ya timu zote za michezo zinazoondoka nchini kesho jioni kwenda katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yanayofanyika nchini Australia katika …

Read More »

KAMATI YA BUNGE YA UONGOZI YAKUTANA LEO MJINI DODOMA

IMGL6677

Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilicholenga kupokea mapendekezo ya ratiba ya Mkutano wa kumi na Moja wa Bunge kilichofanyika leo tarehe 28 Machi, 2018 katika ofisi za Bunge Mjini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha …

Read More »

Milioni 260 za Tatumzuka kunyakuliwa katika ‘Jackpot’ ya Pasaka

036A10391

Tatu Mzuka, mchezo wa namba unaongoza hapa nchini unawapa fursa Watanzania kushinda kitita cha Shilingi milioni 260 katika droo itakayofanyika jumapili ya pasaka na kuonyeshwa moja kwa moja saa 3:30 usiku Taifa linapojiandaa na sherehe za Pasaka, Tatumzuka imeungana na wateja wake kwa kutangaza fursa ya kushinda kitita cha shilingi 260 …

Read More »

IGP SIRRO ATUMA SALAMU ZA PASAKA

Inspekta Jenerali wa Polis, Simon Sirro akizungumza katika mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari makao Makuu ya Jeshi hilo Dar es Salaam jana ambapo alizungumzia masuala kadhaa ya usalama wa raia na mali zao. (Picha na Mroki Mroki).

Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro anawashukuru Wananchi kwa ushirikiano wanaoendelea kuutoa kwa Jeshi la Polisi  jambo ambalo limesaidia kupunguza uhalifu kwa kiasi kikubwa hapa nchini. Kiujumla hali ya usalama hapa nchini ni shwari na matukio  makubwa ya uhalifu wa kutumia Silaha yamepungua kwa kiasi kikubwa na jitihada za kukabiliana …

Read More »

TGNP YAKUTANISHA WADAU KUJADILI TANZANIA YA VIWANDA NA MWANAMKE

IMG_4373

              TGNP Mtandao imekutanisha wajumbe kutoka makundi mbalimbali ya wadau wa maendeleo wakiwemo wawakilishi kutoka taasisi za umma na Serikali na asasi za kiraia kujadili uchambuzi uliofanywa na taasisi hiyo kuangalia sera, mikakati na mipango ya Serikali kumuwezesha mwanamke kuelekea uchumi wa viwanda. Akizungumza …

Read More »

This Week On DStv

DStv EPL Soccer Everton vs Manchester City. ads Instagram(1080px X 1080px) 3 2 2 2 2

Wikiendi hiyoo inanyatia nyatia, wapenda soka kama nawaona vile wakila Sikukuu miguu juu, sasa Wakali wa soka DStv wanataka kunogesha zaidi sikukuu yako, shuhudia mechi kali za Premier League. Mashetani wekundu wanakutana na viponde Swansea City, Je mdogo atampiga mkubwa? ukweli utajulikana baada ya dakika tisini siku ya jumamosi saa …

Read More »

CHADEMA YASAMBARATIKA KILOMBERO

images

Leo 27 March 2018 Bwana  Anton Kamonalelo Katibu wa Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Kilombero na Bwana Twaha Mvogo Mwenyekiti wa BAVICHA Jimbo la Mlimba pamoja na wanachama wengine wa  Chadema 142 wamejivua uanachama wao  leo wa Chadema na Kujiunga na CCM katika ukumbi wa Jamosi Ifakara.   Viongozi hao …

Read More »

FMOs Wakumbushwa Utendaji Wao

1,,

 Dkt. Charles Mhina Mkurugenzi wa Idara ya Serikali za Mitaa wakati akifungua Semina ya Maafisa usimamizi wa fedha wa ngazi ya Mikoa (FMOs) katika Ukumbi wa OR TAMISEMI pembeni ni Mkurugenzi wa TEHAMA OR TAMISEMI Ndg. Erick Kitali Erick Kitali Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA OR TAMISEMI, akisisitiza jambo kwa …

Read More »

UCHUKUZI SC WAIVA KWA MEI MOSI 2018

????????????????????????????????????

Kocha Kingsley Marwilo (katikati) jana akisimamia mazoezi ya timu ya soka ya Uchukuzi yanayofanyika kwenye viwanja vya shule ya Sekondari ya Airwing, wakijiandaa na mashindano ya Kombe la Mei Mosi yatakayofanyika Jijini Arusha kuanzia Aprili 16, 2018. Wachezaji wa timu ya kamba ya Wanawake ya Uchukuzi wakifanya mazoezi kwa kuvutana …

Read More »

RC TABORA: WAKANDARASI WA KITANZANIA HAKIKISHENI MIRADI YENU INAKUWA YA KIWANGO CHA JUU

4

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(kulia) akiagana jana na Meneja wa Wakala wa Barabarani Tanzania(TANROADS) Mkoani humo Damian Ndabalinze (kushoto) mara baada ya mazungumzo yaliyolenga kujua hali ya ukarabati wa barabara zilizoharibiwa na mvua iliyonyesha hivi karibuni na kusababisha kukatika kwa mawasilano katika njia mbalimbali. Mfanyakazi katika Kitalu cha …

Read More »

WAZIRI MKUU MAJALIWA AREJEA DODOMA

PMO_9192

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Kasulu Mjini , Daniel Nsanzugwako  kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma wakati aliporejea akitoka Dar es salaam Machi 28, 2018.  Wapili kulia ni  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) ambaye pia ni Mbunge wa Bumbuli, January Makamba,  …

Read More »

DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI LEO

DSC_9193

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha  Fatma Gharib Bilal  kuwa  Katibu Mkuu katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto katika hafla  iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha  Nd,Abdalla Hassan Mitawi …

Read More »

WATENDAJI WANAOSIMAMIA SEKTA YA SANAA NA TAASISI KUTANENI NA WASANII KUELIMISHA TARATIBU NA SHERIA ZILIZOPO KATIKA SEKTA YA SANAA-MWAKYEMBE

Pix 1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kufanya kikao na Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Nassibu Abdul (Diamond) kujadili namna ya kuboresha maadili katika kazi za sanaa na baadaye kukutana na waandishi wa habari jana …

Read More »

HATIMAYE DIAMOND AMALIZANA NA WAZIRI MWAKYEMBE,SHONZA

Pix 02

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatua zilizochukuliwa na wizara kwa kufungia baadhi ya nyimbo zinazokiuka maadili, kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Juliana Shonza na kulia Msanii wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’. …

Read More »

MESSI JUKWAANI ARGENTINA YATANDIKWA 6-1 NA HISPANIA

agentina-1

Kiungo wa Real Madrid, Isco akishangilia baada ya kufunga mabao matatu dhidi ya Argentina. Wachezaji wa Argentina wakishangilia bao lao. Argentina imekiona cha mtema kundi katika mechi ya kirafiki dhidi ya Hispania baada ya kulala kwa mabao 6-1. Kiungo wa Real Madrid, Isco amefunga mabao matatu, hat trick na mengine …

Read More »