Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / March / 30

Daily Archives: March 30, 2018

STAND UNITED YATANGULIA NUSU FAINALI KOMBE LA FA

STAND UNITED 1

Na Alexander Shijja, SHINYANGA TIMU ya Stand United imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Njombe Mji FC jioni ya leo Uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga. Shukrani kwa mfungaji wa bao hilo pekee, Abdul Swamad dakika ya 12 …

Read More »

POLISI KANDA MAALUM DAR YAIMARISHA ULINZI KUELEKEA PASAKA

MAMBOSASA

*Kamanda Mambosasa agusia upelelezi kifo cha Akwilina  Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii KAMANDA wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa amesema  hali ya usalama wa Jiji kuelekea Sikukuu ya Pasaka na wamejiimarisha kulinda usalama wa raia na Mali zao. Mambosasa ameeleza kuwa Jeshi limejipanga kwa kuimarisha ulinzi …

Read More »

Waziri Hamad Rashid Awataka Viongozi Kudumisha Michezo

001

Waziri wa Afya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Ahamad Rashid Mohamed akiwasalimia wachezaji wa Timu ya Wizara ya Afya Zanzibar na Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) jijini Dar es Salaam. Mh. Ahamad Rashid Mohamed akipiga mpira …

Read More »

WADAU WATARAJIA KITU TOFAUTI KUTOKA TECNO

image1

Kufuatia ongezeko la matumizi ya simu za mkononi, makampuni mbali mbali yamekua yakija na matoleo tofauti ili kufanya vema sokoni,TECNO wakiwa ndo kampuni pendwa zaidi katika kuzalisha kile kinachomstahili mteja Tayari pameshakua na minong’ono ya hapa na pale baina ya wadau wa simu janja “smart phone” ikiinyooshea vidole kampuni ya …

Read More »

RC MASENZA AWAPONGEZA RDO KWA KUTATUA TATIZO LA MAJI KWENYE BAADHI YA VIJIJI VYA WILAYA YA MUFINDI NA KILOLO

IMG_1561

 Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Nandala alipokuwa ameenda kuzindua mradi wa maji ambao utasaidia kupunguza changamoto ya maji na kuchochea maendeleo kwa wananchi ambao watakuwa wananufaika na mradi huo ulifadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali la Rural Development Organization (RDO) Tanzania ambao makao …

Read More »

KIWANDA CHA NGUZO ZA ZEGE CHAFUNGWA KWA KUKOSA SOKO

1

Mkuu wa mkoa wa Pwani ,Mhandisi Evarist Ndikilo ,alipofanya ziara yake ya siku moja kutembelea viwanda nane mjini Kibaha ambavyo vingine vianza uzalishaji na vingine vikiwa hatua mbalimbali za ujenzi Kiwanda cha Hunnan Power kinachotengeneza nguzo za zege mjini Kibaha, kikionekana kutoweza kuendelea na uzalishaji kutokana na kukosa soko na …

Read More »

MABULA ABARIKI TAMASHA LA PASAKA 2018 MWANZA

IMG_2508

Mbunge wa jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza Mh.Stanslaus Mabula amewakaribisha wakazi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake wakati katika Tamasha kubwa kabisa la Pasaka wakati akizungumza kuhusu Tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Aprili Mosi katika sikukuu ya Pasaka. Mabula ameipingeza kampuni ya Msama …

Read More »

WATALII WENGI WAZIDI KUTEMBELEA TANZANIA – WAZIRI KIGWANGALLA

1

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akipokelwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Maj. Gen. Gaudensi Milanzi mjini Dodoma jana ambapo alikuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 25 wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara hiyo. ………………………………………………………………….. Tanzania imefanikiwa kuongeza idadi ya watalii kutoka 1,284,279 mwaka 2016 hadi …

Read More »

Maadhimisho ya Upandaji Miti Kitaifa kufanyika wilayani Kishapu

thumb_529_800x420_0_0_auto

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack ……………………………………………………………………… Na Robert Hokororo, Ofisi ya Mkurugenzi Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga inatarajia kuwa mwenyeji wa Maadhimisho ya Upandaji Miti Kitaifa yatakayoanza tarehe 3 Aprili 2018 hadi tarehe 5 Aprili 2018. Katika kilele cha maadhimisho hayo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa …

Read More »