Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / March / 31

Daily Archives: March 31, 2018

DC HAPI AMTEMBELEA MSANII MAN DOJO ALIYEBOMOLEWA NYUMBA YAKE

IMG-20180331-WA0067

Leo asubuhi nimefika alipokua akiishi msanii Man Dojo.Taarifa ya awali inaonesha kuwa eneo alilojenga kuna viwanja vitatu ambavyo vina hati na kuna watu walipewa mwaka 2003.Mwaka 2013 viwanja hivyo vikiwa havijaendelezwa,Man Dojo aliuziwa na mtu aliyedai ni mmiliki wa eneo hilo kwa Tsh milioni 3 wakimuaminisha kuwa ni mali yao. …

Read More »

CHONDE CHONDE MAASKOFU MSISOME KESHO WARAKA WENU PIGINE MAGOTI TUOMBEENI – MBUNGE RITTA KABATI

IMG_20180331_105405

 Na  MatukiodaimaBlog WAKATI  kesho makanisa  mbali  mbali ya kikristo nchini yanatarajia kutumia ibada ya sikukuu ya Pasaka ambayo ni maalum  kwa  ajili ya kumbukumbu ya  kufufuka kwa  Yesu Kristo ,kusoma  waraka maalum  kwa Taifa , mbunge  wa  viti  maalumu mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) amewaomba maaskofu nchini  kusitisha kusoma  …

Read More »

WAZIRI MKUU AWAOMBA VIONGOZI WA DINI WAPIGANIE NA KUILINDA AMANI

1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua  Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwenye ukumbi wa Msekwa  mjini Dodoma Machi 31, 2018 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubeiry wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kufungua mkutano wa Baraza Kuu …

Read More »

TECNO KUJA NA KAMERA YA AINA YAKE

image3

Kufuatia matoleo ya simu mbalimbali yiliyotangulia, TECNO, imekua ikitajwa tajwa huku ikihusishwa na ujio wa toleo jipya ikikisiwa kuwa ni muendelezo wa matoleo ya Camon, ni ukweli usiopingika kuwa matoleo ya TECNO-Camon yamekua na kamera nzuri zaidi kufananishwa na matoleo mengine Miongoni mwa vivutizi vinavyoipa simu kipaumbele, bila shaka simu …

Read More »

NGORONGORO HEROES YAANZA KUSAKA TIKETI YA AFCON U-20 HII LEO

Ngorongoro Heroes

Kikosi cha timu ya taifa chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes kinashuka Uwanja wa Taifa kukabiliana na Congo (U20) katika mchezo wa kwanza wa kufuzu kutafuta tiketi ya kushiriki mashindano ya AFCON (U20). Ngorongoro itakuwa inacheza mechi yake ya kwanza kabla ya kurudiana na Congo bada ya wiki mbili huko …

Read More »

UEFA YABADILI KANUNI YA ‘SUB’ KUWA WACHEZAJI WANNE

TELEMMGLPICT000153216820_trans_NvBQzQNjv4Bq56SURFa-j0RBa9h9sFlLKfs5ZFPOGxZj7P4rCvLd38E

SHIRIKISHO la Soka la Ulaya (UEFA) linatarajiwa kufanya mabadiliko kadhaa katika uendeshaji wa mechi za michuano yake ikiwemo kuruhusu mabadiliko ya mchezaji wa nne katika mechi moja. Sehemu ya mabadiliko hayo pia itahusisha mchezaji kuruhusiwa kuzichezea timu mbili katika michuano ya msimu mmoja ikitokea akahama. Imeelezwa kuwa mchezaji wa nne …

Read More »