Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / April

Monthly Archives: April 2018

IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WILAYANI MUFINDI

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akiwa ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, mhe. Jamhuri William (kushoto) wakati alipofanya ziara ya kikazi na kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo mkoani Iringa leo. Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akisalimiana na Maofisa wa Polisi …

Read More »

Waziri Kairuki Azindua Ripoti Ya Nane Ya TEITI

Picha Na 6

Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila akifafanua jambo kwenye uzinduzi wa ripoti ya Nane ya ulinganishi wa mapato ya Serikali na malipo ya kampuni za madini, mafuta na gesi asilia kwa mwaka wa fedha 2015/16 uliofanyika jijini Dar es Salaam na kukutanisha wawakilishi kutoka Kamati ya TEITI, …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO APRIL 30,2018

6

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiwasilisha  hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Fedha kwa Wizara hiyo kwa mwaka 2018/19  Bungeni mjini Dodoma mapema leo. Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu akitoa maelezo Bungeni  mapema leo kuhusu mikakati ya Serikali kuhusu kufikisha umeme katika …

Read More »

MAHAKAMA YATOA AMRI HANS POPE WA SIMBA KUKAMATWA

31493701_215700705873688_2375941339217307587_n

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatatu imetoa amri ya Mwenyekiti wa Kamati ya  Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe na Franklin Lauwo wakamatwe na wafikishwe mahakamani hapo kuunganishwa katika kesi  ya utakatishaji fedha inayomkabili rais wa timu hiyo, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’. Aveva na Kaburu …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

msangi 0ne

MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MPENZI WAKE KWA KUMNYONGA HADI KUFA WILAYANI NYAMAGANA. KWAMBA TAREHE 29.04.2018 MAJIRA YA SAA 17:40HRS JIONI KATIKA JENGO LA EKACLIFF OFISI YA KILIMANJARO AVIATION MTAA WA ISALAMILO KATA YA ISAMILO WILAYA YA NYAMAGANA JIJI NA MKOA WA MWANZA, MTU …

Read More »

Tanzania Yatumia Dola Milioni 200 kuagiza Chakula

maize

Na Mahmoud Ahmad Dodoma Imeelezwa kuwa hapa nchini TANZANIA hutumia zaidi  ya dola milioni 200 sawa na bilioni 400(Mutungi and Affognon 2013)  kuangiza chakula kutoka nje ya nchi kila mwaka hali inayosabaisha wakulima wadogo wadogo kulazimika kuuza mazao yao kwa bei ya nchini. Hayo yalibainishwa mwishoni mwa wiki  na Afisa …

Read More »

RASMI BARCELONA MABINGWA WAPYA WA LALIGA 2017-18

4BAF9F1E00000578-5671811-image-a-154_1525034439825

Barcelona kwa sasa ni mabingwa wa laliga baada ya jana kushinda kwa magoli 4-2 dhidi ya Deportivo la Coruña na kufikisha pointi 86 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote. Barcelona hili ni taji lao la 25 la liga pia Barcelona wameshinda taji hilo wakiwa bado wana mechi 4 na kuweka …

Read More »

SIR ALEX FERGUSON AMPA WENGER ZAWADI MAALUM

wenger-na-furgeson-3

KOCHA wa zamani wa Klabu ya Manchester United, Sir Alex Ferguson jana alimuaga Kocha wa Arsenal, Mzee Arsene Wenger kwa kumpa zawadi maalum kabla ya mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kati ya Arsenal na Man U.   Sir Alex Ferguson alimkabidhi zawadi hiyo maalum kwa niaba ya Klabu …

Read More »

WAKUU WA TEHAMA WAKUTANA KENYA

01

KWA UFUPI: Wakuu wa vitengo vya TEHAMA wamekutana kujadili changamoto na namna nzuri ya kuzitatua changamoto hizo katika vikao vilivyo kamilika Nchini Kenya. ——————————- Watunga sera na sheria mbali mbali wamekua wakifanya maamuzi ya TEHAMA bila kushirikisha wadau wa TEHAMA – Hii imekua moja ya changamoto inayo leta mkinzano wa …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA IRINGA-DODOMA KATIKA SEHEMU YA IRINGA-MIGORI-FUFU KM 189 ILIYOKAMILIKA KUJENGWA KATIKA KIWANGO CHA LAMI

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Jeremy Aguma wa pili kutoka kulia  wakivuta utepe kwenye jiwe la msingi kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya Iringa-Migori-Fufu Km 189 iliyokamilika kujengwa …

Read More »

KIKOSI CHA YANGA SC LEO DHIDI YA SIMBA SC

yanga

1. Youthe Rostand 2. Hassani Kessy 3. Gadiel Mbaga 4. Andrew Vicent 5. Kelvin Yondani 6. Saidi Juma 7. Yusufu Mhilu 8. Papy Tshishimbi 9. Obrey Chirwa 10. Rafael Daudi 11. Ibrahim Ajibu Benchi – Ramadhani Kabwili – Abdallah Shaibu – Juma Abdul – Juma Mahadhi – Maka Edward – …

Read More »