Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / April / 02

Daily Archives: April 2, 2018

MKE WA RAIS MANDELA AFARIKI DUNIA

mandela

TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mke wa zamani wa Rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, Winnie Madikizel Mandela, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81. Taarifa ya BBC Swahili imeeleza kuwa, habari za kifo cha Winnie zimethibitishwa na msaidizi wake.   Winnie alizaliwa Oktoba 26, 1936, ingawa yeye …

Read More »

WANANCHI WANAOISHI PEMBEZONI MWA BAHARI WILAYANI MTWARA WATAKIWA KULINDA NA KUWAFICHUA WANAODHOOFISHA JUHUDI ZINAZOFANYWA NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

SAM_0928

Pichani ni wawakilishi wa mtandao unaojishughulisha kuratibu utekelezaji wa shughuli za usimamizi wa rasirimali za bahari (BMU) kutoka katika halmashauri ya wilaya ya mtwara makoani hapa hivi karibuni wakiwa katika mafunzo maalumu ya siku tano juu ya kuhakikisha rasirimali hiyo inatunzwa ipasavyo ambapo yamefanyikia mjini hapa aliyesimama ni mwezeshaji jamii …

Read More »

TANZANIA YAPATA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 34 KUTOKA MFUKO WA MAENDELEO WA ABU DHABI KUBORESHA BARABARA YA UVINZA-MALAGARASI KWA KIWANGO CHA LAMI

JH0A8267

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI, Mhandisi Mussa Ibrahim Iyombe, akisalimiana na mwenyeji wake, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi, Mhe. Saif Al Suwaidi, alipowasili Makao Makuu ya Mfuko huo Mjini Abu Dhabi, kwa ajili ya kusaini mkataba wa mkopo wenye …

Read More »

JUMIA FOOD YAFANYA MABORESHO KWENYE PROGRAMU YAKE YA SIMU

001

JUMIA Food, mtandao unaoongoza kwa huduma ya chakula barani Afrika, umezindua toleo jipya la programu yake ya simu ikiwa na maboresho zaidi yanayotarajiwa kuleta mapinduzi nchini Tanzania. Maboresho hayo yatampatia mteja uwezo wa kipekee wa kuweza kuitumia kwa urahisi zaidi na namna aitakavyo.   “tumejizatiti kuwapatia wateja wetu huduma bora …

Read More »

WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI GEITA

PMO_0170

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenge wa Uhuru kiongozi wa vijana  sita watakaokimbiza Mwenge huo,Charles Kabeho wakati alipozindua mbio za Mwenge wa Uhuru kwenye uwanja wa Magogo mjini Geita, Aprili 2, 2018. Wapili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu …

Read More »

WAISLAMU WAKUMBUSHWA UPENDO

DSC05594

Sheikh wa Bilal Muslim Mission Of Tanzania Kanda ya Ziwa Sheikh Hashim Ramdhan akizungumza nkwenye maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Ali Bin AbiTwalib juzi jijini Mwanza.Kulia ni Maulana Sayyed Amir Abass Baqri. Maulana Sayyed Amir Abass Baqri kulia akitoa mawaidha kwenye swala ya maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Ali Bin …

Read More »

MWANZA ENDELEENI KUSAJILI WANUNUZI WA PAMBA-MAJALIWA

WAZIRI-Mkuu-Kassim-Majaliwa

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza viongozi wa mkoa wa Mwanza kuendelea na usaji wa wanunuzi wa zao la pamba na wawape fursa ya kuchagua maeneo wanayotaka kununua pamba.   Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumapili, Aprili 02, 2018) alipozungumza na viongozi mkoa wa Mwanza baada ya kuwasili kwenye uwanja …

Read More »