Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / April / 04

Daily Archives: April 4, 2018

KAMATI ZA WATU WENYE ULEMAVU ZA MKOA KUTAMBULIKA KISHERIA

PMO 1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Afisa Mtetezi CCBRT Bw. Fredrick Msigala kwenye viwanja vya Bunge baada ya kuwasilisha hotuba  kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya  fedha  za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini …

Read More »

WAZIRI MKUU: VIWANDA 3,306 VYAANZISHWA NCHINI

WAZIRI MKUU 2

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano imetekeleza kaulimbiu yake ya kujenga uchumi unaotegemea viwanda na kwamba hadi kufikia Februari 2018, viwanda vipya 3,306 vimekwishaanzishwa nchini. Ametoa kauli hiyo leo (Jumatano, Aprili 4, 2018) Bungeni mjini Dodoma, wakati akiwasilisha taarifa ya mapitio ya utekelezaji wa kazi za …

Read More »

MAJALIWA: SERIKALI YAAJIRI WAKAGUZI WA MAZINGIRA 450

IMGS1319

Asema Serikali imeimarisha mifumo ya taarifa za ardhi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeongeza idadi ya Wakaguzi wa Mazingira kutoka 62 hadi kufikia 512 ili kuimarisha ukaguzi wa masuala ya hifadhi ya mazingira nchini. Ametoa kauli hiyo leo (Jumatano, Aprili 4, 2018) Bungeni mjini Dodoma, wakati akiwasilisha taarifa ya …

Read More »

SERIKALI KUTOSITISHA MKATABA WA KAMPUNI YA CHAI MARUKU

IMG_3750 (2)

Serikali imesema kuwa haitasitisha mkataba na Mwekezaji wa Kampuni ya Chai Maruku, iliyoko mkoani Kagera, kwa sababu mgogoro wa malipo uliopo baina ya  kampuni hiyo na wakulima pamoja na wafanyakazi wake unaelekea kutatuliwa. Hayo yameelezwa leo Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji …

Read More »

TBL yabainisha matumizi ya teknolojia za kisasa katika kilimo kuongeza mavuno ya wakulima

wakulima wadogo 2

 Rais wa kitengo cha Biashara wa kampuni ya AB In Bev kanda ya Afrika Mashariki,Roberto Jarrin Wakulima wadogo wadogo wanahitaji mapinduzi ya teknolojia katika uzalishaji Wakulima wadogo wadogo wanahitaji mapinduzi ya teknolojia katika uzalishaji ………………………………………………………………………………. Mkurugenzi  wa kampuni ya TBL Group ambaye pia ni Rais wa kitengo cha Biashara wa …

Read More »

MWAROBAINI HUDUMA ZA AFYA WAPATIKANA

Picha Na 5

Na: Frank Shija – MAELEZO, Mbeya. Serikali inaendelea na mikakati wa kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma bora za afya na kwa wakati ili kuleta ustawi katika kufikia azma ya Tanzania ya viwanda. Hayo yamebainishwa leo Jijini Mbeya na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Constantine Mushi alipokuwa akizinduzi mafunzo …

Read More »

HOTUBA YA WAZIRI MKUU, KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2018/2019

PMO_8594

  UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na taarifa zilizowasilishwa leo katika Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako …

Read More »

DK.SHEIN ATEMBELEA MPIGADURI NA MARUHUBI

DSC_0691

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili  Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Eneo  linalotarajiwa  kujengwa  Bandari Mpya ya kisasa, itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini …

Read More »

Mwarobaini Utoaji Huduma za Afya Wapatikana

DH0

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Constatine Mushi (kushoto) akipokelewa na Meneja Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Mkoa wa Mbeya Bw. Gasper Materu mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Usungilo kwa ajili ya uzinduzi wa mafunzo ya siku tano kuhusu Mifumo iliyoborehswa ya …

Read More »

Wateja 676 wa Tigo wajinyakulia simu janja za TECNO R6 na bonasi za intaneti bure baada ya kununua bando za intaneti kupitia *147*00#

MMG_8643

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael (kushoto) na Mtalaam wa Bidhaa wa Tigo,  Jacqueline Nnunduma (kulia) wakiongea na waandishi wa habari katika hafla ya kukabidhi zawadi za simu janja aina ya Tecno R6 kwa washindi wa promosheni inayoendelea ya Nyaka Nyaka Bonus. Tigo imetoa jumla ya simu 676 bure pamoja na bonasi za …

Read More »

Kwenye DStv leo usiku

SUPERSPORT_lrg

Michuano ya UEFA champions League hatua ya robo fainali raundi ya pili inaendelea leo siku, Jana usiku tulishuhudia hatua ya kwanza ya robo fainali, ambapo Juventus walipigwa 3-0 na Real Madrid hivyo Madrid kusonga mbele kwenye michuano hii na mechi nyingine ilikuwa ni kati ya Sevila 1- 2 Bayern Munich, …

Read More »

MJUMBE WA KAMATI KUU CCM TAIFA MHE.SAMIA ARIDHISHWA NA KASI YA VIONGOZI WA CCM YA KUREJESHA UTAMADUNI WA KURUDI KWA WANANCHI NA KUSIKILIZA KERO ZAO NA KUZITAFUTIA UFUMBUZI WA KUDUMU

1

MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi katika hafla ya maandalizi ya kilimo cha mpunga na upandaji wa Mpunga katika bonde la kizimbani Unguja, kilimo kinaendeshwa na Wana CCM wa Jimbo la Bububu na maeneo jirani. MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM Taifa …

Read More »