Tuesday , January 22 2019

Home / filamu / Kwenye DStv leo usiku

Kwenye DStv leo usiku

SUPERSPORT_lrg

Michuano ya UEFA champions League hatua ya robo fainali raundi ya pili inaendelea leo siku,

Jana usiku tulishuhudia hatua ya kwanza ya robo fainali, ambapo Juventus walipigwa 3-0 na Real Madrid hivyo Madrid kusonga mbele kwenye michuano hii na mechi nyingine ilikuwa ni kati ya Sevila 1- 2 Bayern Munich, hivyo Bayern Munich na Real Madrid wameingia hatua ya nusu fainali.

Leo usiku michuano inaendelea ambapo Barcelona inaikaribisha Roma, Barcelona ina rekodi nzuri kwenye michuano  hii ya UEFA Champions League , imefanikiwa kushiriki michuano hii mara 11  tangu 2007, Hii ikiwa ni kufika katika robo fainali mara 4, nusu Fainali mara 4 pamoja na  Ushindi mara 2. Leo Jioni wanashuka Dimbani kwa mara nyingine tena wakicheza dhidi ya Roma. Je unaitabiria nini Barcelona kwenye mechi hii dhid ya Roma?

Usikubali kukosa Uhondo huu Soka utakaorushwa Mubashara na DStv pekee, saa 3 usiku kwenye Supersport 10 kupitia kifurushi chake cha DStv Bomba kinachopatikana kwa sh. 19,000 pekee!

tu.

Jiunge na DStv sasa kwa sh. 79,000 tu, wasiliana nao kwa 0659 07 07 07, kujihudumia bonyeza *150*46#

About bukuku

Check Also

MMGM0530

LIVE: Kilele cha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

3 × two =