Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / April / 05

Daily Archives: April 5, 2018

WADAIWA SUGU WA MADENI YA “COMMODITY ORT SUPPORT (CIS) WATAKIWA KULIPA MADENI YAO NDANI YA SIKU 30

index

TANGAZO KWA WADAIWA SUGU WA MADENI YA “COMMODITY                                                                   IMPORT SUPPORT (CIS) Katika miaka ya 1980 hadi 2000 Wahisani walitoa fedha za kigeni kwa Serikali ya Tanzania kwa mpango maalum uliofahamika kama “Commodity Import Support (CIS)” kwa lengo la kuipa Serikali uwezo wa kuimarisha uchumi kwa kuzipatia Taasisi, Makampuni, Viwanda na …

Read More »

Wajenzi Reli ya TAZARA Wakumbukwa

IMG_0144

   Waziri wa Mambo ya Nje Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi  Agustine Mahiga akiwa na Balozi wa China Nchini Tanzania, Wang Ke, wakiweka mashada kwenye moja ya kaburi la wakandarasi waliofika nchini kujenga reli ya Tazara Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Raia wa nchi ya China wanaoishi Tanzania wamefanya …

Read More »

KONGAMANO LA KUMBUKUMBU YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR

DSC_1039

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati  alipofika kuzindua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo …

Read More »

MSEMAJI ZIMAMOTO AFANYA ZIARA GLOBAL GROUP

PIX 2

Msemaji Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkaguzi Joseph Mwasabeja (INSP) (wa pili kulia) akimsikiliza kwa makini mmoja ya watayarishaji wa vipindi wa Kampuni ya Global Group (aliyevaa shati ya blue) wakati wa ziara yake yakukuza mahusiano  alipo tembelea kampuni hiyo mapema leo. Msemaji Mkuu wa Jeshi la Zimamoto …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

MTU MMOJA AMEUAWA NA KUNDI LA WATU WALIOJICHUKULIA SHERIA MKONONI  HUKU MWENZAKE AKIJERUHUHIWA BAADA YA KUOKOLEWA NA POLISI KWA KOSA LA KUTAPELI MBUZI WAWILI WILAYANI SENGEREMA MNAMO TAREHE 04/04/2018 MAJIRA YA SAA 17:30HRS JIONI KATIKA KIJIJI CHA NYANZUMULA KATA YA KAGUNGA TARAFA YA NYANCHENCHE WILAYA YA SENGEREMA MKOA WA MWANZA, …

Read More »

Rais Magufuli kuzindua Nyumba za Polisi Arusha ,April 7

IMG_20180405_095020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pohn Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa nyumba za polisi na vituo vya polisi Jijini Arusha. Akizungumza na waandishi wahabari Kamanda wa polisi jijini hapa DCP Charles Mkumbo amesema kuwa kutakuwa na uzinduzi wa vituo viwili cha Utalii na Diplomasia …

Read More »

Mwalimu Rufiji Ashinda Pasaka Mzuka Jackpot Ya Milioni 260

1

  Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Tatu Mzuka Sebastian Maganga akizungumza na wanahabari  mapema leo jijini Dar wakati wa kumtambulisha mshindi Pasaka Mzuka Jackpot Edward Msenga (Kulia) na kumpongeza kwa ushindi mkubwa wa kujishindia kiasi cha Shiling Milion 260. Kushoto ni Mkaguzi kutoka michezo ya Bahati Nasibu  Bakari Maggid. …

Read More »

JUMUIYA YA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA MKOA WA DAR ES SALAAM, YAADHIMISHA KWA KISHINDO MIAKA 63 YA KUANZISHWA KWA UMOJA HUO. KOMREDI MPOGOLO ANOGESHA KONGAMANO HILO KATIKA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE, LEO.

1.+DSC_5131

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo  akimkabidhi Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania, mkoa wa Dar es Salaam, Abdulkadir Sharif (Scaba Scuba) Cheti cha Skurani kutoka Umoja huo Wilaya ya Kigamboni kutambua mchango mkubwa wa hali na mali ambao amekuwa akiutoa kwa …

Read More »

RC SHINYANGA AWATAHADHALISHA WAHARIBIFU WA MISITU

G3

Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Dkt. Ezekiel Mwakalukwa akijibu hoja zilizotolewa na wadau mbalimbali  wa uhifadhi wa Misitu jana wakati wa kongamano ambalo lilikuwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya upandaji miti ambayo Kitaifa inafanyika Mkoani Shinyanga wilayani Kishapu Mdau wa Uhifadhi wa Mazingira, Anna Matinye akichangia …

Read More »