Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / April / 06

Daily Archives: April 6, 2018

GAUDENTIA KABAKA: WANAWAKE MSIONE FAHARI KUITWA ‘DUME JIKE’

kab

Mwenyekiti ya Jumuiya ya Wanawake wa Tanzania (UWT) Gaudentia Kabaka akizungumza na Waandishi wa habari leo Makao Makuu ya Jumuiya hiyo, Suwata Kariakoo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa UWT Bara Eva Kihwelo (Picha na Bashir Nkoromo). ……………………………………………………………………… NA BASHIR NKOROMO Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake …

Read More »

Wasomi wahimizwa kujenga Utamaduni wa Kuandika Vitabu

abbas

Na Jacquile Mrisho – MAELEZO. Rai imetolewa kwa wasomi nchini kujenga utamaduni wa kuandika vitabu vya aina mbalimbali vitakavyoelimisha jamii kuhusu uendelezaji wa viwanda na fursa za maendeleo ili wananchi wafahamu mengi juu ya nchi yao. Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU MJINI DODOMA LEO APRIL 6,2018

5

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Suleima Jaffo, akizungumza na Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene (kushoto) na Naibu Waziri wa Viwanda na biashara, Stella Manyanya (katikati) bungeni mjini Dodoma Aprili 6, 2018 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira  na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, akizungumza na Naibu …

Read More »

Serikali Kulinda Haki ya Watanzania Walioajiriwa Nje ya Nchi

PMO_9706

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba alipokuwa akijibu swali la Mhe. Mgeni Jadi Kadika mbunge wa Viti Maalum CCM namna vijana wa Kitanzania hasa wa kike wanavyonyanyaswa wanapokwenda kufanya kazi za ndani katika nchi za Uarabuni. ……………….. Na: Lilian Lundo – …

Read More »

Serikali Kuwashughulikia Wanaovamia Vyanzo Vya Maji

1

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack akizungumza na wananchi wa Songwa mara baada ya kuongoza zoezi la kupanda miti kandokando mwa bwawa la Mhumbu ikiwa ni mojawapo ya maadhimisho ya Upandaji miti kitaifa wilayani Kishapu. Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Mhe Nyabaganga Taraba akizungumza wananchi wa Songwa mara …

Read More »

MABALOZI WAJITAMBULISHA NA KUMUAGA RAIS DK.SHEIN

DSC_2588

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi akiwepo na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu pia Balozi wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda walipofika Ikulu Mjini …

Read More »

KATIBU MKUU NISHATI, AFANYA ZIARA KATIKA KAMPUNI YA TIPPER

????????????????????????????????????

Katibu Mkuu wa Nishati Dkt.  Hamisi Mwinyimvua (katikati) akipata maelezo kuhusu flow mita mbili mpya zilizopo katika eneo la kampuni ya TIPPER. Wengine katika picha ni Viongozi Waandamizi kutoka Wizara ya Nishati na Uongozi kutoka Kampuni ya TIPPER. Katibu Mkuu wa Nishati Dkt.  Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) akimsikiliza Mkurugenzi …

Read More »

FURSA ZA UFADHILI WA MAFUNZO KWA WATANZANIA

index

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo ya muda mfupi na muda mrefu katika kada mbalimbali kutoka Umoja wa Afrika, Serikali za China, Ujerumani na Jamhuri ya Korea. Kuhusu ufadhili wa mafunzo ya muda mrefu, Umoja wa Afrika kupitia Mwalimu Nyerere …

Read More »