Friday , March 22 2019

Home / 2018 / April / 07

Daily Archives: April 7, 2018

CHIRWA AREJEA DAR,AISHUDIA YANGA IKIWATANDIKA WAETHIOPIA

obrey-chirw

Straika wa Yanga, Obrey Chirwa tayari amerejea nchini tayari kuanza kuitumikia Yanga katika mechi za Ligi Kuu Bara, ikiwemo ile dhidi ya watani wao Simba, mwishoni mwa mwezi huu. Chirwa alipewa ruhusa ya wiki moja kwenda kwao Zambia kutokana na matatizo ya kifamilia. Lakini Chirwa amerejea nchini tayari kuendelea na …

Read More »

ROSE MUHANDO KUWAKALISHA WAKAZI WA DODOMA KESHO

sa2

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Dodoma leo alipozungumzia kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha hilo litakalofanyika kesho Aprili 8 mwaka huu kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Msama amesema tamasha la kesho ni la tofauti …

Read More »

NYUMBA ZA POLISI ZIMENIPA MKE JANETH-RAIS MAGUFULI

magufuli-lumumba

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Maguli amesema jeshi la polisi ndilo lilimpa mke aliye naye  sasa, Mama Janeth Magufuli ambaye baba yake alikuwa ni polisi mpaka alipofariki dunia. Rais ameyasema hayo leo Jumamosi, Aprili 7, 2018 baada ya kuzindua kituo cha polisi cha Kidiplomasia na Utalii  eneo …

Read More »

TAMKO LA MHE. UMMY, KUHUSU SIKU YA AFYA DUNIANI

TUTA-2

Ndugu Wananchi Siku ya Afya duniani huadhimishwa tarehe 7 Aprili ya kila mwaka. Kauli mbiu ya mwaka huu ni HUDUMA BORA ZA AFYA KWA WOTE.  Kauli mbiu  inatutaka kuhakikisha kuwa hukuna mtu anayekosa huduma za afya popote alipo. Napenda kuchukua fursa hii kuwafahamisha wananchi kuwa Serikali ya Awamu ya Tano …

Read More »

Teknolojia Kuboresha Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii

CH2

Afisa Tehama wa Taasisi ya Kuhamasisha Uimarishaji wa Mifumo ya Afya (HPSS), Abdallah Muchunguzi akiwaelekeza namna mfumo wa usimamizi wa taarifa za mwanachama wa Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa (IMIS)unavyofanyakazi wakati wa mafunzo kwa ajili ya wakufunzi wa mikoa kuhusu mifumo ya Upelekaji wa fedha moja kwa moja katika …

Read More »