Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / April / 08

Daily Archives: April 8, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mh: Salehe Mhando atoa shilingi milioni moja kuunga mkono Ujenzi wa shule ya Msingi Luhafwe

PMO_0084

Mheshimiwa  Salehe Mhando akikagua msingi wa shule hiyo ambao unachimbwa. Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi  Salehe  Mhando ametoa shilingi milioni moja katika kuunga mkono jitihada za wananchi wa Kijiji cha Luhafwe ambao wameanzisha ujenzi wa vyumba vya madarasa  ya shule ya msingi Ruhafwe iliyopo wilayani Tanganyika. Ujenzi huo …

Read More »

TAMASHA LA PASAKA LATIKISA MAKAO MAKUU DODOMA

19

Naibu Spika wa Bunge Mh. Dk. Tulia Ackson akizungumza na Mwimbaji Rose Muhando na Naibu Waziri wa Kilimo Dk. Mary Mwanjelwa mara baada ya kuzindua albam ya mwimbaji huyo inayoitwa “Usife Moyo”  kwenye tamasha la pasaka lililofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo kulia ni Mkurugenzi wa kampuni ya …

Read More »

DC MTWATA AWATAKA WANANCHI KUPANDA MITI

miti 4

Mkuu wa wilaya ya mtwara Evod Mmanda katikati hivi karibuni akishiriki zoezi la upandaji miti lililofanyika kiwilaya katika shule ya sekondari ya Ndumbwe kata ya Ndumbwe kwenye halmashauri hiyo. Mkuu wa wilaya ya mtwara Evod Mmanda hivi karibuni akizungumza na wananchi wakati wa zoezi la upandaji miti lililofanyika kiwilaya katika …

Read More »

MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA MAKAMPUNI YA CCECC NA UJUMBE WAKE

PMO_0238

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Makampuni ya  China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) , Bw. Zhao Dianlong wakati alipozungumza na ujumbe wa Makampuni hayo kutoka Tanzania, Afrika Mashariki na China, ofisini kwake mjini Dodoma Aprili 8, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na ujumbe kutoka Makampuni ya …

Read More »

BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO

A

 Mlinda mlango wa Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya United Bank of Africa (UBA) Tanzania akiwa langoni wakati wa mchezo wa kirafiki na timu ya taasisi mbalimbali kutoka Uganda zilizopo nchini. Mchezo huo ulifanyika jijini Dar es Salaam jana.  Vijana wakiwa uwanjani wakimenyana.  Mchezo ukiendelea.  Picha ya pamoja. Kikosi cha …

Read More »