Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / April / 09

Daily Archives: April 9, 2018

Waziri Mahiga akutana na Balozi wa Hispania nchini

Waziri-Spain4

   Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Augustine Mahiga akifafanua jambo kwenye mazungumzo na Balozi wa Hipania nchini Mhe. Felix Costales Artieda alipomtembelea Wizarani tarehe 09 Aprili,2018, Jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuzidi kuimarisha ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Hispania. …

Read More »

JENGO LA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO KUWA KIVUTIO CHA KIHISTORIA CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA UTALII JIJINI ARUSHA

_DSC3135

Na Hamza Temba – WMU ……………………………………………….. JENGO la kitega uchumi la Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro jijini Arusha ambalo ujenzi wake unatarajiwa kukamilika mwezi juni mwaka huu litakuwa kivutio cha kihistoria cha utoaji wa huduma za utalii hapa nchini.   Hayo yameelezwa jana na Waziri wa Maliasili na Utalii, …

Read More »

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA

IMG-20180409-WA0035

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Pia tunaweka mikakati madhubuti ya kukabiliana na ajali za barabarani hasa katika kipindi hiki cha mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali. Aidha Jeshi la …

Read More »

MKOPO WA DOLA MILIONI 65 WA KAGERA SUGAR WAWEKEZWA NCHINI

PMO_0528

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, akijibu swali la Mbunge wa Rufiji Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa, Bungeni Mjini Dodoma,  aliyetaka kujua sababu za Serikali kumdhamini mwekezaji wa Kiwanda cha Sukari Kagera, kukopa kiasi  cha dola milioni 65 za Marekani  ambacho amedai kimepelekwa kuwekezwa nchini Kongo  wakati …

Read More »

Mbuge Ali Khamis Aipongeza Muhimbili Kuponya Mwanae

????????????????????????????????????

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala, Makwaia Makani akipokea cheti cha utambuzi wa huduma zinazotolewa na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Mwanakwerekwe- Zanzibar, Ali Salim Khamis ambaye mtoto wake alipatiwa huduma ya matibabu katika hospitali hiyo. Daktari Bingwa wa Upasuaji Watoto katika Hospitali ya …

Read More »

Usajili Vitambulisho vya Taifa Tabora waendelea

3

Wananchi wa Kata ya Ntalikwa kijiji cha Mtakuja Manispaa ya Tabora wakiwa katika foleni ya kupiga picha. Mkazi wa Kata ya Tumbi Manispaa ya Tabora Bi. Mary Robert nae akikamilisha Usajili kwa kuchukuliwa alama za vidole Akina mama Waliojitokeza kwa wingi kusajiliwa vitambulisho vya Taifa kata ya Tumbi Manispaa ya …

Read More »

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA NA KUFIKIA 3.9%

PICHA YA MFUMUKO SEPTEMBA

Na Florah Raphael. Mfumko wa bei wa taifa kwa mwezi machi, 2018 umepungua hadi kufikia asilimia 3.9 ikilinganishwa na asilimia 4.1kama ilivyokuwa mwezi February, 2018. Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa sensa na takwimu za jamii, Ephraim Kwesigabo alipokuwa akiongea na vyombo vya habari kuhusu mfumuko wa bei wa taifa …

Read More »

WAZIRI KIGWANGALLA:ASILIMIA 90 YA MITI IMEJITOLEA YENYEWE

1

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wananchi viwanja vya Shirecu wilayani Kishapu kwenye kilele cha kilele cha Maadhimisho ya Upandaji miti kitaifa. Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Ezekiel Mwakalukwa akizungumzia Maadhimisho ya Upandaji Miti kitaifa wilayani Kishapu Aprili 5 …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO APRIL 9, 2018

5

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza wakati wa Mkutano wa …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

DSC02103-660x400

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Pia tunaweka mikakati madhubuti ya kukabiliana na ajali za barabarani hasa katika kipindi hiki cha mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali. Aidha Jeshi la …

Read More »

RAIS DK.SHEIN APOKEA UJUMBE KUTOKA KAMPUNI YA KUSHAN ASIA AROMACOOPERATION YA NCHINI CHINA

DSC_3262

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya “KUSHAN  ASIA AROMA COOPERATION LIMITED” kutoka  China Bw.Zhou Junxue akiwa na Ujumbe wa Viongozi aliofuatana nao leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza  Mwenyekiti wa …

Read More »

KATIBU MKUU NISHATI, AKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO

Picha Na 1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua ( kulia) akiongoza kikao kilichokutanisha wadau wa maendeleo na Wizara ya Nishati katika Ofisi za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam  tarehe 06 Aprili, 2017. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua akifuatilia  ufafanuzi uliokuwa unatolewa na Kamishna …

Read More »

MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO YATIMA YAFANYIKA ZANZIBAR

DSC_2517

Baadhi ya Watoto mayatima waliohudhuria katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima yaliofanyika katika Viwanja vya Bakhresa Fumba Wilaya ya Magharibi B Unguja. Baadhi ya Watoto mayatima waliohudhuria katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima yaliofanyika katika Viwanja vya Bakhresa Fumba Wilaya ya Magharibi B Unguja. Waziri wa Kazi Uwezeshaji …

Read More »

WAZIRI WA AFYA MHE.MWALIMU ATOA TAARIFA KUHUSU MWENENDO WA UGONJWA WA KIPINDUPINDU NCHINI KWA KIPINDI CHA JANUARI HADI MACHI 2018

IMG-20160129-WA0139

Ndugu Wanahabari, Serikali kupitia Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imekuwa ikitoa taarifa ya mwenendo wa mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu na hatua zinazochukuliwa kudhibiti ugonjwa huu Kuanzia Januari hadi kufikia tarehe 31 Machi 2018, jumla ya wagonjwa 1448, wametolewa taarifa, na kati ya hao 27 …

Read More »

WANAFUNZI WATANZANIA WAINGIA TUZO ZA KIMATAIFA ZA DStv EUTELSAT STAR

DStv-Eutelsat-

Tanzania kutetea ushindi ilioupata msimu uliopita Ilboru, Al-Madrassat Ussaifiyatul Burhaniyah zaongoza Jumatatu Aprili 9, 2018; Tanzania imepata wawakilishi wawili watakaoshiriki katika msimu wa saba wa tuzo maarufu barani Afrika kwa wanafunzi wapenzi wa masomo ya Sayansi na Teknolojia ijulikanayo kama – DStv Eutelsat Star Awards. Wanafunzi hao Michael Ditrick wa …

Read More »