Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / April / 10

Daily Archives: April 10, 2018

SEKTA YA BARABARA YATAKIWA KUUWIANA NA USIMAMIZI WA MAZINGIRA

picha 4

Waandisi na mafundi sanifu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mafunzo ya tathmini ya mazingira katika miradi ya barabara,yanayoendelea mjini Morogoro. Mhandisi Melania Sangeu akiwasisitiza jambo washiriki wa mafunzo ya tathmini ya mazingira katika miradi ya barabara,yanayoendelea mjini Morogoro,ambao ni waandisi wa mafundi sanifu. Mhandisi Chacha Harun,akisisitiza jambo …

Read More »

Washindi Zaidi wa Nyaka Nyaka Bonus Wazawadiwa

SAIS0365

Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael  (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu janja aina ya Tecno R6 kwa Yusra Ali Ramadhani (kulia) aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 83 wa wiki hii katika promosheni inayoendelea ya Nyaka Nyaka Bonus.      Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael  (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu …

Read More »

UJENZI WA UKUTA MERERANI WAOKOA MAMILIONI

Mirerani

    *Mapato yapanda kutoka sh. milioni 147 hadi sh. milioni 714   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kukamilika kwa ujenzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Mererani kutasaidia kuongeza mapato ya Serikali ikiwa ni pamoja na kudhibiti vitendo vya wizi na utoroshaji wa madini ya Tanzanite.   Ametoa kauli hiyo …

Read More »

WAZIRI MKUU AKEMEA UPOTOSHAJI KUHUSU MUUNGANO

PMO_7868

*Awataka waulinde, aonya sukari isiwe sababu   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania waulinde Muungano baina ya Tanzania Bara na Zanzibar na akawaonya wasitumie Bunge hilo kuupotosha.   Ametoa kauli hiyo leo (Jumanne, Aprili 10, 2018) Bungeni mjini Dodoma kwenye mkutano wa 11 wa …

Read More »

NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUCHEZWA APRILI 20 NA 21

KIRI

Hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho la Azam(ASFC) inatarajia kuchezwa Aprili 20 na Aprili 21,2018. Nusu fainali ya Kwanza itachezwa Ijumaa Aprili 20,2018 ikiwakutanisha Stand United ya Shinyanga watakaokuwa wenyeji wa Mtibwa Sugar ya Morogoro kwenye Uwanja wa Kambarage,Shinyanga saa 10 jioni. Singida United ya Singida watawakaribisha JKT …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA OFISI YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA

B4

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akijibu hoja za Wabunge walizochangiana kuhusu Ofisi yake wakati wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha za Ofisi yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019 Bungeni Dodoma Aprili 10, 2018. Naibu Waziri Ofisi …

Read More »

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA POLAND KUZURU NCHINI

AA1

  ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA POLAND NCHINI 11-13 APRILI 2018   Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Poland, Mhe. Prof. Jacek Craputowicz atafanya ziara ya kikazi nchini Tanzania kuanzia tarehe 11 hadi 13 Aprili 2018. Katika ziara hiyo, Prof. Craputowicz pamoja na mambo mengine, …

Read More »

TRA YAKUSANYA TRILIONI 11.78 NDANI YA MIEZI 9

IMG-20180410-WA0086

Mkurungezi Mamlaka ya mapato Tanzania  TRA Akiongea na Wandishi wa habari jijini Dar Es Salaam kitoa Ufaanuzi juu ya makusanyo ya kodi Kwa kipindi cha meizi Tisa Mwaka wa fedha 2017/2018 ……………… Katika kipindi cha miezi tisa Mwaka wa fedha 2017/2018  Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imekusanya jumla ya shilingi …

Read More »

KAMISHNA WA NISHATI AFANYA ZIARA MANTRAC, DAR ES SALAAM

PICHA NA 2

Kamishna wa Nishati, Mhandisi Innocent Luoga (kulia) akisalimiana na mmoja wa watendaji wa kampuni ya Mantrac, Matiko Bugumia (kushoto) mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za kampuni hiyo zilizopo jijini Dar es Salaam. Meneja Miradi kutoka kampuni ya Mantrac, Ahmed Maamoun (kulia)  akielezea majukumu ya kampuni kwa Kamishna wa Nishati, …

Read More »

MPINA AFUFUA KIWANDA CHA NYAMA SHINGANYA

a2

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina  akiangalia moja ya sehemu ya jengo la Kiwanda cha nyama cha Shinyanga  iliyoharibiwa  na  kutolewa  mabomba  ambapo pia vitasa vya mlango vimetolewa alipofanya ziara ya kushitukiza katika kiwanda hicho leo.  (Picha na John Mapepele) Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina(Mwenye Miwani) akioneshwa …

Read More »

Muhimbili Yapokea Msaada wa Vifaa Tiba

002

Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi, Bi. Agness Mtawa (kulia) wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akipokea msaada wa viti 20 vya kubebea wagonjwa kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Bi. Nuru Mhando wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Nuru Mhando (kushoto) na …

Read More »

MFUMO WA DHFF WAONGEZA ARI YA UTENDAJI KAZI KWA WATUMISHI WA AFYA

KINGollwiraJPG

Kaimu Mganga Mfawidhi wa kituo cha Afya Kingolwira Manispaa ya Morogoro Bi.Tausi Mnugwa akizungumza na Mwandishi Wetu (hayupo Pichani) wakati akielezea mafanikio ya Mfumo wa DHFF. Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Sabasaba Manispaa ya Morogoro Dkt.Said Mbwana Akimwelezea Mwandishi wetu (hayupo Pichani) jinsi Mfumo wa DHFF unavyorahisisha utendaji kazi. …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA IBADA ILIYOWAHUSISHA WAISLAMU NA WAKRISTO

7

Mwenyekiti wa The Desk & Chair Foundation Sibtain Meghjee ambaye pia ni Mwenyekiti wa The Bilal  Muslim Mission of Tanzania Kanda ya Ziwa akisisitiza jambo katika ibada iliyofanyika katika Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) Bwiru jijini Mwana, mwenyekiti huyo na waumini baadhi ya dini ya Kiislamu waliakwa kushiriki …

Read More »

DC AINYOOSHEA WIZARA YA MAJI KWA UCHELEWESHA FEDHA ZA MIRADI YA MAJI KWANI INAKWAMISHA UTEKELEAJI WA MPANGO WA SERIKALI KUFIKIA UTOAJI WA HUDUNA KWA 88%

IMG_8424

Na Mahmoud Ahmad Chemba Mkuu wa wilaya ya Chemba mkoani Dodoma Simon Odunga ainyooshea kidole wizara ya maji kwa ucheleweshaji wa fedha za miradi ya maji kwani inakwamisha utekelezaji wa mpango wa serikali kufikia utoaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi kwa asilimia 88% iliyojiwekea hadi ifikapo …

Read More »