Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / April / 12

Daily Archives: April 12, 2018

Hati Safi zimeongezeka katika Mamalaka za Serikali za Mitaa

4O3A0871

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akizungumza na wanahabari kwenye Ukumbi wa Bunge, mapema leo ktolea ufafanuzi hoja zilizobainishwa kwenye Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali. …………………………………………………………………………… Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI. Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo amesema …

Read More »

WAZIRI MKUU: SERIKALI ITAENDELEA KUMUENZI SOKOINE

PMO_9426

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mjane (mke mkubwa) wa marehemu Edward M. Sokoine Bibi Napono Sokoine, mara baada ya kuwasili nyumbani kwao kushiriki ibada ya kumbukumbu ya miaka 34 ya kifo chake iliyofanyika leo Aprili 12, 2018. Kulia ni mke mdogo, Bibi      Nekiteto Sokoine. (Picha na Ofisi ya …

Read More »

WAZIRI MAHIGA AMPOKEA NCHINI WAZIRI WA MBO YA NJE WA POLAND

pol

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Augustine Mahiga akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland, Mhe. Jacek Czaputowicz mara baada ya kumkaribisha rasmi Wizarani tarehe 12 Aprili, 2018. Katika mazungumzo yao walisisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali zikiwemo elimu, kilimo, utalii, …

Read More »

SERIKALI YA AWAMU YA TANO YATEKELEZA KWA KASI HOJA ZA CAG

2

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali na hatua zinazochukuliwa na Serikali kutokana na ushauri uliotolewa katika ripoti hiyo, Wakati wa Mkutano Uliofanyika Leo Mjini Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani …

Read More »

WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUTUMIA BANDARI YA TANGA

21

Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama akizungumza na waandishi wa habari mkoani Tanga leo kuhusu mikakati wa bandari hiyo kulia ni Afisa Mipango wa Bandari Moshi Mtambalike Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama katikati akizungumza kushoto ni Afisa Utekelezaji Mkuu wa Bandari hiyo Donald Ngaire na kulia ni …

Read More »

HALMASHAURI 182 ZADAIWA KUMKAIDI JPM

IMG-20180412-WA0028

kuu wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo (wa kulia), akimkabidhi dawa ya viuadudu vya mazalia ya mbu ,mkurugenzi wa halmashauri ya Chalinze ,Edes Lukoa wakati wa ufunguzi wa kampeni ya uhamasishaji wa ununuzi wa dawa hiyo ,Mkoani Pwani.(picha na Mwamvua Mwinyi)   Meneja wa udhibiti wa ubora na viwango katika kiwanda kinachozalisha …

Read More »

MEGHJEE ATUNUKIWA CHETI NA KANISA LA AICT BWIRU

KATIBU WA AICT

Mwenyekiti wa The Desk &Chair Foundation (TD &CF) Sibtain Meghjee (kulia) akipokea cheti kutoka kwa Kaimu Katibu Mkuu wa Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) Mchungaji Philipo Majuja kutokana na kutambua mvhango wa taasisi hiyo wa kusaidia jamii.Hafla iliyofanyika kanisani hapo Jumalipili iliyopita. Mkuu wa Kanisa la African Inland …

Read More »

WAKRISTO, WAISLAMU WAANDIKA HISTORIA MPYA

DSC05617 Sheikh Hashim Ramadhani

  NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA WAISLAMU wa madhehebu ya Shia Ithna Asheri Imamia wamesema kitendo cha Wakristo wa Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) cha kuwaalika kushiriki Ibada kanisani kimefungua ukurasa mpya kutokana na hali ya kiimani ilivyo nchini. Mwenyekiti wa taasisi ya The Desk & Chair Foundation (TD&CF) …

Read More »

MANISPAA YAZIDI KUING’ARISHA MAKAO MAKUU

kmr1

Mkuu wa Idara ya Mazingira na Udhibiti wa Taka Ngumu wa Manispaa ya Dodoma Dickson Kimaro akikagua moja ya vifaa vipya vilivyowekwa katika Mtaa wa Kuu kwa ajili kutunza uchafu ikiwa ni juhudi za Manispaa hiyo kuhakikisha Mji unakuwa safi wakati wote. Mkuu wa Idara ya Mazingira na Udhibiti wa …

Read More »

NCAA YADHAMINI NGORONGORO MARATHON

Run-4web

Mashindano ya Ngorongoro Marathon 2017, ambayo kwa mara ya kwanza yalidhaminiwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA). Mamlaka hiyo inadhamini kwa mara ya pili mwaka huu. (Picha na Yusuph Mussa).   Na Yusuph Mussa, Tanga MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongo (NCAA) imedhamini mashindano ya Ngorongoro Marathon kama sehemu ya …

Read More »