Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / April / 13

Daily Archives: April 13, 2018

Dkt. Harrison Mwakyembe Atoa Maagizo Mazito kwa Uongozi wa StarMedia na TBC

1

SERIKALI YAFAFANUA MKATABA STARMEDIA, RUZUKU VIWANDA VIDOGO Dodoma, April 13, 2018: Serikali imefafanua hatua zilizochukuliwa kuhakikisha Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) linafaidika na kampuni ya ubia ya StarMedia, huku ikisisitiza kuwa uongozi wa sasa chini ya Rais John Pombe Magufuli umefanya mageuzi makubwa na ya kihistoria katika kuwawezesha wajasiriamali wadogo …

Read More »

WATAFITI WA KODI AFRIKA WAJENGEWA UWEZO

1T4A1273

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Michael John akimkabidhi  mshiriki kutoka Tunisia Bw. Jabali Belhanssen cheti cha ushiriki wa mafunzo ya utafiti ambayo yafanyika jijini Dar es Salaam kwa ushirikiano wa Taasisi ya Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF) na Chuo cha Kodi (IAT). …

Read More »

ADAM SALAMBA MCHEZAJI BORA MWEZI MACHI LIGI KUU YA VODACOM

7fe33ffdbb3b8d654e3bddaf747e75de

 MSHAMBULIAJI wa Lipuli ya Iringa, Adam Salamba amechaguliwa kuwa  Mchezaji Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)Tanzania Bara. Salamba alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, Salum Kimenya wa Prisons na kipa wa Azam, Mwadini Ally katika uchambuzi uliofanywa wiki hii na Kamati ya Tuzo hizo. Mshambuliaji huyo …

Read More »

WAFANYABIASHARA NCHINI WATAFUTIWA SOKO UFARANSA

DODOMA+HEADEDPAPER

Wafanyabiashara nchini kutafutiwa Soko Ufaransa   Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kupitia Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa kwa kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), inaratibu ziara ya viongozi wa makampuni ya biashara zaidi ya 30 kutoka Ufaransa ambao ni wanachama wa Taasisi ya …

Read More »

BAYERN MUNICH YAMTANGAZA KOCHA MPYA KUANZA MSIMU UJAO

30707865_208058509971241_1348967909324807239_n

Uongozi wa Bayern Munich umetangaza kuingia mkataba wa miaka mitatu na Kocha Eintracht Frankfurt, Niko Kovac. Kovac atakuwa anachukua mikoba ya Jupp Heynckes ambaye alikuwa akiitumikia klabu hiyo kwa muda kufuatia kuondoshwa kwa Carlo Acelotti aliwezesha Bayern kuchukua taji la 6 mfululizo katika ligi. Heynckes anajiandaa kuondoka Bayern Munich huku akiwa …

Read More »

TANZANIA YAVUNJA REKODI TUZO ZA KIMATAIFA ZA DStv EUTELSAT STAR

DStv-Eutelsat-

Rasheed Taher aiingiza Tanzania kwenye nchi zilizowahi kuwa washindi Kampala, Paris, 13 April 2018 – Tanzania imevunja rikodi kwenye Tuzo za kimataifa za wanafuzi zijulikanazo kama DStv Eutelsat Star Awards baada ya  mwanafunzi Taher Rasheed kutoka shule ya Al-Madrasat Us-saifiyatul Burhaniyah ya Dar es salaam kushinda nafasi ya kwanza katika …

Read More »

IT’S TIME TO TURN YOUR HOUSE TO A HOME!!

image1

               JUMIA FIX MY HOUSE. It’s time to turn your House to a HOME!! A house can be any basic unit of dwelling, whether its an apartment, a super modern glass box or anything else in between. The form of the house never matters as much as what goes inside  because …

Read More »

DK.TUMAINI AACHIA VIDEO YA ‘NINA FURAHA’

DSC_0242

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam. Mwimbaji wa muziki wa Injili pia ni mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi, Dk Tumaini Msowoya amefanikiwa kuachia video yake mpya ya wimbo unaoitwa ‘Nina Furaha’. Akizungumza na waandishi wa Habari, Dk Tumaini alisema video hiyo ni ipo kwenye albamu yake ya ‘Hakuna …

Read More »