Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / April / 14

Daily Archives: April 14, 2018

VIDEO:EPZA ,TCCAI KUSHIRIKIANA KATIKA KUHAMASISHA WAZAWA KUWEKEZA

EP6

Mkurugenzi wa Uhamasishaji Uwekezaji wa Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji(EPZA), James Maziku akielezea majukumu ya mamlaka hiyo mbele ya wajumbe wa Taasisi ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania(TCCIA) walipofanya ziara katika mamlaka hiyo jana jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo ililenga kuwajengea uwelewa wa pamoja ili kuhamasisha wazawa zaidi …

Read More »

NHIF YAJA NA USHIRIKA AFYA ILI KUWASAIDIA WANAUSHIRIKA

1

NA TIGANYA VINCENT RS TABORA MFUKO wa Bima ya Afya nchini (NHIF) umeamua kuanza kutoa huduma za Bima ya Afya kwa wanachama wa Vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS) chini ya Mpango wa  Ushirika Afya kwa ajili ya kuwawekea mazingira ya mazuri ya kuwapatia matibabu mwaka mzima. Kauli hiyo imetolewa …

Read More »

Mafundi Sanifu Wa Barabara Wafundwa Kuhusu Mazingira

dav

Mkurugenzi wa Usalama na Mazingira wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Julius Chambo akifafanua jambo kwenye hafla ya ufungaji wa Mafunzo ya tathmini na usimamizi wa athari za mazingira katika miradi ya ujenzi wa barabara kwa mafundi sanifu yanayofanyika mkoani Morogoro. Baadhi ya washiriki wa …

Read More »

TAMISEMI Yaendelea Kuwabaini Watoto Wenye Mahitaji Maalum

6a

Mmoja wa wataalam wa kubaini watoto wenye mahitaji maalum, Suleimani Kingo akimpima mtoto mwenye tatizo la kuongea wakati wa uendeshaji wa zoezi hilo katika Halmashauri ya wilaya Kondoa kata ya Pahi Mtaalam wa kubainisha watoto wenye mahitaji maalum, Julieth Philipo akimpima mtoto mwenye tatizo la uoni hafifu wakati wa uendeshaji …

Read More »

OPERESHENI YA POLISI YANASA SILAHA NA WAHALIFU

1

Mkuu wa Operesheni maalum za Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi Liberatus Sabas akionyesha baadhi ya Silaha zilizokamatwa katika Operesheni  maalum ya kupambana na uhalifu na wahalifu inayoendelea katika Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma. Wengine ni Maofisa mbalimbali waliopo katika Operesheni hiyo. Picha na Jeshi la Polisi ……………….. Na. Jeshi …

Read More »

Naibu Waziri akutana na kufanya mazungumzo na Spika EALA

SAMSUNG CSC

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Mhe. Martin Ngoga wakisalimiana walipokutana kwa mazumgumzo katika Ofisi za Wizara Dodoma. Mhe. Ngoga alimtembelea Naibu Waziri Mhe. Dkt. Kolimba Ofisini kwake ambapo …

Read More »

Balozi Luvanda awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Sri Lanka

LUVANDA2

Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka Luvanda (kushoto) ambaye anawakilisha pia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kisoshalisti ya Sri Lanka akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mheshimiwa Maithripala SIRISENA, Rais wa nchi hiyo Balozi Luvanda akisalimiana na maafisa waandanizi wa Ikulu ya Sri Lanka Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka Luvanda …

Read More »

KIDATO CHA NNE NAO KUWEKA KAMBI MWEZI JUNI SIMIYU

PICHA A

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na wanafunzi wa Kidato cha Sita kutoka shule 11 Mkoani humo wakati wa kufunga  Kambi ya Kitaaluma kwa wanafunzi hao 1005 katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Maswa. Afisa Elimu wa Mkoa wa Simiyu, Mwl.Julius Nestory akizungumza na wanafunzi wa …

Read More »