Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / April / 15

Daily Archives: April 15, 2018

Dulla Mbabe: Si Ngumi tu, Hata Soka Naweza

1-7

Mchezaji wa timu ya Dame Boxing, Boxer, Abdallah Pazi “Dullah Mbabe”(kulia) akikabiliwa na walinzi wawili wa timu ya Wakuvesha zote za Mwananyamala wakati wa Bonanza lililoandaliwa na Vijana CCM Tawai la Mwanjuma Mwananyamala jijini Dar es Salaam.Timu ya Wakuvesha ilishinda 2-1. ………………………………………………………………………… Mwanamasumbwi , Abdallah Pazi( Dullah Mbabe) amebambwa kitaa …

Read More »

Makamu wa Rais kumwakilisha Rais DKt. John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) London

5R7A1186

Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaondoka nchini leo kwenda London, Uingereza kushiriki kwenye Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 16 hadi 20 Aprili, mwaka huu akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa …

Read More »

Madaktari Bingwa kutoka (MOI), waanza upasuaji kwa watoto wenye matatizo ya vichwa vikubwa na mgongo wazi

index

Madaktari Bingwa kutoka Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), wameanza upasuaji kwa watoto wenye matatizo ya vichwa vikubwa na mgongo wazi. Ni zoezi litakalodumu leo, kesho na keshokutwa jumatatu, pia watafanya clinic kwa walioshindwa kufika MOI siku za nyuma. Zoezi limefanikiwa watoto 15 watafanyiwa upasuaji, na wengine watapata ushauri wa Kitabibu …

Read More »

Mkurugenzi mkuu wa wilaya ya Kongwa afariki dunia katika ajali

Copy of index1

Mkurugenzi mkuu wa wilaya ya  Kongwa amefariki dunia katika ajali hiyo. Alikuwa akitokea mjini Dodoma, majira ya SAA 4 Usiku ndipo Gari yake  ndogo, binafsi ilipogongana na hilo ‘Tanker’ hatimaye Gari yake  kukandamizwa na hilo Gari kubwa. Kwenye Gari yake  haijajulikana walikuwa wangapi hadi  sasa. Ajali imetokea katika kijiji cha …

Read More »

RC MAKONDA:TUSIPIMANE UBAVU

image

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amewatahadharisha wanaume wanaodhani wanaweza kukaidi wito wa kufika ofisini kwake baada ya kulalamikiwa kutelekeza watoto ambapo amewatumia salamu kwa kuwaambia wasimjaribu wala kupima mamlaka aliyonayo. RC Makonda ametoa kauli hiyo wakati wa mahojiano ya kipindi cha tathimini ya Zoezi la …

Read More »

MEI MOSI KITAIFA KUFANYIKA IRINGA ,RAIS JPM KUTUA IRINGA

IRI

 Rais  wa  shirikisho  la  vyama huru    vya  wafanyakazi Tanzania  (TUCTA) Tumaini  Vyamhokya katikati akiongoza  kuimba  wimbo wa  wafanyakazi  wakati wa  kikao  na  waandishi wa habari mkoa  wa  Iringa kuelezea maandalizi ya  Mei  Mosi  kitaifa  yatakayofanyika  mkoani Iringa Rais  wa  shirikisho  la  vyama huru    vya  wafanyakazi Tanzania  (TUCTA) Tumaini  …

Read More »

TBL Group na Bits & Bytes Technology Convention yawapiga msasa wanafunzi KIITEK kuhusu mapinduzi ya kilimo nchini

????????????????????????????????????

Zuweina Farah kutoka Bits&Bytes Convention akifafanua jambo Wanafunzi wa KIITEC wakisikiliza mikakati ya mapinduzi ya kilimo Wanafunzi wa KIITEC wakisikiliza mikakati ya mapinduzi ya kilimo Mtaalamu wa kilimo kutoka TBL Group,Joel Msechu,akitoa mada ………………………………………………………………………………………. Wataalamu wa kilimo na teknolojia kutoka TBL Group chini ya ABInBev na taasisi ya Bits & …

Read More »

WAZIRI MHAGAMA AKAGUA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MEI MOSI – IRINGA

????????????????????????????????????

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akisalimiana na baadhi ya wanakamati wa Maandalizi ya Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi zitakazofanyika Kitaifa mkoani Iringa alipotembelea kukagua maandalizi yanavyoendelea Aprili 14, 2018. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, …

Read More »

WANACHAMA CCM WAMESHAURI KUNDELEZA HARAKATI ZA KULINDA,KUTETEA NA KUSIMAMIA MISINGI ILI KUENZI KWA VITENDO JUHUDI ZA WAASISI WA ASP NA TANU

IMG_0704

MAKATIBU wa uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) kutoka ngazi za matawi na wilaya ya Dimani, wakisikiliza maelezo ya namna alivyouawa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Mzee Abeid Aman Karume kutoka kwa Katibu Msaidizi Afisi Kuu ya CCM Zanzibar Asha Chum (wa kwanza kulia mwenye mtandio mweusi). MAKATIBU wa uenezi …

Read More »