Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / April / 16

Daily Archives: April 16, 2018

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA MIUNDOMBINU ILALA

01

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akisaidiwa kuvuka kwenye daraja la muda alipokuwa akikagua leo daraja la Mto Msimbazi linalounganisha Ulongoni B na Gongo la Mboto, Dar es Salaam, ambalo ni moja ya madaraja yaliyobomoka kutokana athari za mvua za masika zinazoendelea kunyesha. Mjema alifanya ziara ya kukagua miundombinu …

Read More »

Wataalamu 100 Kupewa Mafunzo ya Ukaguzi wa Viuatilifu

Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,  Dr. Charles Tizeba akisoma Bungeni hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018. (Picha na Mroki Mroki).

Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma Serikali inatarajia kutoa mafunzo ya taaluma ya ukaguzi wa viuatilifu kwa wataalamu 100 ili kuongeza wigo wa ukaguzi wa maduka  ya kuuza viuatilifu mikoani na kuchukua nafasi ya watumishi waliostaafu. Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba  ameyasema hayo leo Mjini Dodoma alipokuwa akiongea na …

Read More »

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI LEO

PMO_8176

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Jenista Mhagama bungeni mjini Dodoma Aprili 16, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)W

Read More »

RC Iringa kuzindua michezo ya Mei Mosi

_MG_1820

Baadhi ya wachezaji wa timu ya wanaume na wanawake ya kuvuta kamba ya Uchukuzi leo wakifanya mazoezi katika shule ya msingi ya Mlandege wakijiandaa na mashindano ya Mei Mosi yanayoanza kesho kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa. Nahodha msaidizi wa timu ya Kamba ya wanawake, Tabu Cosmas (mwenye ushungi) akiwa …

Read More »

MPINA AWATAKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA PUNDA KUONGEZA BEI

A

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina(mwenye miwani) akikagua kiwanda cha kuchinja Punda cha Hua Cheng Limited kilichopo nje kidogo ya mji wa Dodoma alichokifungua hivi karibuni leo. (Picha na Jumanne Mnyau) Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina(mwenye miwani) akipokea maelezo ya usindikaji wa nyama Punda kutoka kwa mfanyakazi …

Read More »

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI AMEWAVISHA VYEO MAAFISA WAKUU

????????????????????????????????????

  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) akimvisha cheo Luteni Jenerali Paul Massao baada ya kupandishwa cheo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika hafla iliofanyika leo tarehe 16 April, 2018 Makao Makuu ya Jeshi, …

Read More »

DC REGINA CHONJO:HAKUNA HAKI BILA YA WAJIBU

BN640246

Na. Andrew Chimesela – Morogoro Baraza la wafanyakazi la Sekretarieti ya Mkoa wa Morogoro limetakiwa kuwa chachu ya wafanyakazi wa Mkoa huo na kuwakumbusha wafanyakazi hao kutekeleza majukumu yao kikamilifu ili waweze kupewa haki na stahiki zao bila kikwazo pindi wanapolazimika kuzidai haki hizo. Kauli hiyo imetolewa Aprili, 15 mwaka …

Read More »

TRA YASAJILI WAFANYABIASHARA WAPYA 600 MKOANI GEITA

PICHA 2

Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Geita  James Jilala (kulia) akijadiliana jambo na Meneja wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi kutoka TRA Makao Makuu Gabriel Mwangosi wakati wa kampeni maalum ya utoaji huduma na elimu kwa mlipakodi iliyomalizika  mwishoni mwa wiki mkoani Geita. Katikati ni Afisa wa …

Read More »

DKT.MWAKYEMBE: TATUENI KERO ZA WADAU KWA HARAKA NA UFANISI

Pich 1

Waziri wa Habari ,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisoma risala wakati wa ufunguzi wa kikao cha 13 cha  Baraza la Wafanyakazi lililofanyika katika Ukumbi wa Waziri Mkuu leo Mkoani Dodoma. Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi Bw. Makoye Alex Nkenyenge akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi (Hayupo …

Read More »

MultiChoice Yazindua Kituo Cha Huduma Mwanza

2

Meneja Uendeshaji wa MultiChoice Tanzania Baraka Shelukindo akizungumza wakati wa uzinduzi wa kituo maalum cha huduma jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Meneja wa Kanda John Kasuku Meneja Uendeshaji wa MultiChoice Tanzania Baraka Shelukindo akitoa maelezo kuhusu kituo maalum cha huduma jijini Mwanza mara tu ya ufunguzi wa kituo …

Read More »

VIONGOZI KIVULE,DAR WAUNGANISHA NGUVU KUWASAKA VIBAKA DARAJANI

IMG_20180402_153916

Daraja la Kivule likiendelea kujengwa katika Mto Kizinga eneo la Sirali,Dar es Salaam. Baadhi ya wananchi wakipita kwenye daraja la muda baada lile la awali kubomolewa kupisha ujenzi wa daraja hilo jipya ambalo ujenzi wake unatarajiwa kukamilika mwezi ujao.  Na Richard Mwaikenda, Kivule, Dar Viongozi wa Kata ya Kivule, Ukonga …

Read More »