Wednesday , September 26 2018

Home / MCHANGANYIKO / MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU MJINI DODOMA LEO APRIL 16,2018

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU MJINI DODOMA LEO APRIL 16,2018

PMO_9649

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa  akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Mkwawa Iringa .katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018 kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mbunge wa Viti Maalumu Rita Kabati

PMO_9702

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Kuteuliwa Mama Salma Kikwete. katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018.

PMO_9668

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimia na Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Khadija Shabani. katikati mwenye Miwani wakiwa pamoja na Mjasilia mali , Warda Obathan. katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018.

PMO_9639

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Viti Maalumu Upendo Peneza. katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April 16/2018. .

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

About Alex

Check Also

2C4A1313

ELIMU YA MSAFA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI

Dkt. Peter Kilima kutoka Mradi wa Kuimarisha Mifumo ya Sekta za umma PS3, akitoa maelezo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

two × 5 =