Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / April / 17

Daily Archives: April 17, 2018

MAVUNDE AMWAGA NEEMA KWA WAJISIRIAMALI DODOMA,AWATAKA WACHANGAMKIE FURSA

IMG-20180417-WA0100

Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde akifungua Mafunzo ya Ujasiriamali yaliyowashirikisha zaidi ya wajasiriamali 2000 kutoka viunga mbalimbali vya Manispaa ya Dodoma.    Baadhi ya wajasiriamali walioshiriki mafunzo.  Baadhi ya wajasiriamali walioshiriki mafunzo.    Baadhi ya wajasiriamali walioshiriki mafunzo.    Wajasiriamali walioshiriki. Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde akizungumza na …

Read More »

MECHI YA SIMBA NA LIPULI YASOGEZWA MBELE

images

Mechi namba 202 ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Lipuli na Simba iliyopangwa kufanyika Ijumaa, Aprili 20, 2018 kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora mjini Iringa imesogezwa mbele kwa siku moja. Sasa mechi hiyo itachezwa Jumamosi, Aprili 21, 2018 kwenye uwanja huo huo. Sababu za mabadiliko hayo ni wamiliki wa uwanja kuutumia Aprili …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO

5

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mhe. January  Makamba akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kwa mwaka wa fedha 2018/2019 mapema leo Bungeni mjini Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria Prof.  Palamagamba  Kabudi akiteta …

Read More »

Ujerumani Yafungua Ofisi Kuimarisha Viwanda na Biashara Nchini.

????????????????????????????????????

Na Mwandishi Wetu – MAELEZO. Ubalozi wa Ujerumani nchini kwa kushirikiana na Shirikisho la Viwanda na biashara la Ujerumani wamefungua Ofisi Jijiji Dar es Salaam kwaajili ya kuboresha na kuimarisha uhusiano wa kibiashara baina ya Tanzania na Ujerumani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Ujerumani Jijini Dar es …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA PRINCE WILLIAM JIJINI LONDON

3-6

akamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimbidhi picha ya kuchorwa Prince Williams leo katika Jumba la Kifalme la Buckingham Palace kama zawadi na ishara ya kutambua mchango wa Prince William katika kupambana na ujangili, Makamu wa Rais yupo jijini London kumuwakilisha Mheshimiwa Rais …

Read More »

Wachezaji Mei Mosi wahimizwa nidhamu

kanuni2

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakisikiliza kwa makini maelekezo mbalimbali yanayotolewa na viongozi wa kamati ya michuano ya Kombe la Mei Mosi katika kikao kilichofanyika jana kwenye uwanja wa Samora, yakiwa ni maandalizi ya michuano hiyo iliyoanza jana (Picha na Bahati Mollel-TAA) Afisa kutoka …

Read More »

TUME YA UCHAGUZIZANZIBAR (NEC) KUONANA NA RAIS DK.SHEIN.

????????????????????????????????????

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Mhe.Jecha Salim Jecha alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume hiyo kwa kipindi cha miaka mitano mara walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na wajumbe wake,[Picha …

Read More »

WANAWAKE UNGANENI KUKIMBILIA FURSA-LWANJI

2

Afisa maendeleo ya jamii katika halmashauri ya Mji wa Kibaha ,Leah Lwanji (wa kushoto )akipokea zawadi kutoka kwa kikundi cha Pwani Generation Queens ,wakati wa sherehe yao ya mwaka mmoja ya kikundi,wa tatu kutoka kulia ni mwenyekiti wa kikundi hicho Betty Msimbe Mwenyekiti wa kikundi cha Pwani Generation Queens, Betty …

Read More »