Thursday , December 13 2018

Home / BURUDANI / WASHINDI WA ‘MZUKA WA SOKA NA COKA’ MOSHI NA MWANZA WAKABIDHIWA ZAWADI

WASHINDI WA ‘MZUKA WA SOKA NA COKA’ MOSHI NA MWANZA WAKABIDHIWA ZAWADI

Wateja wa vinywaji vya kampuni ya Coca-Cola katika mikoa ya Kilimanjaro na Mwanza waliojishindia zawadi kupitia promosheni ya kampuni hiyo inayoendelea ya ‘Mzuka wa Soka na Coka’wamekabidhiwa zawadi zao.Promosheni hiyo inawezesha kujishindia luninga za kisasa, Pikipiki, fedha taslimu, soda za zawadi nyinginezo.


Meneja Mkuu wa Masoko na Mauzo ya Kiwanda cha Bonite Bottlers ,Christopher Loiruk akikabidhi zawadi za pikipiki kwa washindi, Andrea Tarimo na Elizabeth Msangi, katika hafla iliyofanyika mjini Moshi.

Eric Masawe wa Sambarai Moshi akipokea kitita cha shilingi 100,000 kutoka kwa Mkurugenzi wa Fedha wa Bonite Bottlers,Ramadhan Ananth.

Meneja wa chapa ya Coca-Cola nchini, Sialouse shayo, akikabidhi zawadi za luninga kwa washindi

Meneja wa chapa ya Coca-Cola nchini, Sialouse shayo,akikabidhi zawadi za luninga kwa washindi

Wakazi wa Mwanza, Ibrahim Martin na Nyamaili Werema wakiwa na luninga zao baada ya kukabidhiwa katika hafla iliyofanyika Mwanza.

About Alex

Check Also

eliza

MISS TANZANIA AKIMBIZA SHINDANO LA MISS WORLD,MPIGIE KURA HAPA

Zikiwa  zimebaki siku mbili ili kufanyika kwa kilele cha shindano la urembo la dunia (Miss …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

5 × four =