Thursday , November 15 2018

Home / 2018 / April / 18

Daily Archives: April 18, 2018

MPRU YAPATA MTENDAJI MPYA

a(1)

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina(aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati Ndogo ya Kutathmini Utendaji wa Sekta ya Uvuvi katika Ziwa Victoria baada ya kukabidhi taarifa hiyo mjini Dodoma hivi karibuni.Waliokaa kuanzia kushoto Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Bonaventure Baya Kulia ni …

Read More »

Astashahada, Stashahada Msizipe Kisogo: Waziri Jafo

thumb_1164_1130x480_0_0_auto

Na Atley Kuni OR TAMISEMI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amesema kuanza kwa kozi za ngazi ya Shahada katika Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo kisiwe kigezo cha kuondosha kozi za Astashahada na Stashahada katika chuo hicho. Waziri Jafo …

Read More »

Wadau Wa Dawa Watakiwa Kuchangamkia Fursa

2

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege(mbele) akifungua kikao cha wadau wa Afya ‘Vendor Forum’ kilichofanyika katika Ukumbi wa Dodoma Hotel. Mkurugenzi wa Afya Ofisi ya Rais Tamisemi Dr. Ntuli Kapologwe akitoa maelezo ya awali kabla hajamkaribisha mgeni rasmi kufungua kikao cha wadau wa Afya Vendor Forum. …

Read More »

MATUKIO YA MHE. WAZIRI MKUU, BUNGENI 18.4.2018

PMO_8777

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Hussein Kattanga, katika jengo la utawala bungeni mjini Dodoma Aprili 18, 2018 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto, nje ya jengo la utawala bungeni mjini Dodoma Aprili 18, 2018, katikati ni Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Jaku Hashimu Ayoub Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza naMbunge …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO MJINI DODOMA APRIL 18,2018

2

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Kapteni mstaafu George Mkuchika akisisitiza kuhusu sheria inayotumika kutoa likizo kwa watumishi katika sekta ya umma na binafsi pale wanapojifungua. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza kuhusu mikakati ya …

Read More »

BALOZI WA UINGEREZA NCHINI AKUTANA WAZIRI MKUU MJINI DODOMA

PMO_8921

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Aprili 18, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Aprili 18, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu  

Read More »

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU FURSA ZA MAFUNZO

index

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za mafunzo ya muda mrefu kutoka Kamisheni ya Umoja wa Afrika yatakayofanyika katika Chuo Kikuu cha Pan African (PAU). Mafunzo hayo ambayo yapo kwa ngazi ya Shahada ya Uzamili na Shahada ya Uzamivu yatatolewa katika kozi mbalimbali zikiwemo …

Read More »

JAFFO AWATAKA WATUMISHI KUJITATHMINI KATIKA UTENDAJI WAO

JAFO+VIWANDA+(1)

Na Mahmoud Ahmad Dodoma Serikali imewataka watumishi wa umma kujitathmini katika utendaji wao wa kuwahudumia wananchi wanyonge kwa matendo yao kama yanalingana na mwenendo wa mh. raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkta John Pombe Magufuli katika kuwahudumia wananchi wanyonge. Kauli hiyo imetolewa jana na waziri Ofisi ya Rais …

Read More »

CCM YAMSHUTUMU ZITO KABWE KUPOTOSHA UMMA RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI (CAG) KUHUSU TRILION 1.5

IMG_3440

CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kupitia Katibu wake wa Itikadi na  Uenezi Humphrey Polepole kimesema Mbunge wa Kigoma Mjini  Zitto Kabwe(ACT-Wazalendo) ni mpotoshaji mkubwa na vyombo vya kisheria vinastahili kumchukulia hatua. Kimesema Ziito kupotosha kuwa kuna fedha Sh.Trilioni 1.5 za Serikali zimeibiwa si kweli na kwamba wameipitia taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi …

Read More »

MUHIMBILI YAPANDIKIZA FIGO WAGONJWA WANNE

003

Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya BLK ya India wakimpandikiza figo mgonjwa baada ya ndugu yake kutoa figo. Kushoto ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo na Upasuaji wa Muhimbili, Dkt. Isaack Mlatie na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo na Upasuaji …

Read More »

KIKOSI BORA CHA MWAKA LIGI KUU YA UINGEREZA ‘EPL’ 2018

Premier League

  Kikosi bora cha mwaka katika Ligi Kuu Uingereza, Manchester City imeongeza kwa kutoa wachezaji wengi 1. David de Gea (Manchester United) 2. Kyle Walker (Manchester City) 3. Marcos Alonso (Chelsea) 4. Jan Vertonghen (Tottenham) 5. Nicolas Otamendi (Manchester City) 6. Christian Eriksen (Tottenham) 7. Mohamed Salah (Liverpool) 8. Kevin …

Read More »

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

01

 Mwenyekiti wa Afrika wa World Association of Girl Guides and Girl Scouts (WAGGGS), Zoe Rakotondratovo (kushoto0 na Mjumbe wa Bodi ya Udhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Zakia Meghji wakipia saluti salamu ya kiskauti baada ya Meghji kuvishwa beji na skafu wakati wa hafla iliyoandaliwa  na TGGA kwa …

Read More »

Mzalishaji mbegu apata Tuzo ya Ujasiriamali ya Citi Foundation

3rd+WINNER

 Mwenyekiti wa Bodi ya Tanzania Microfinance Association (TAMFI), Joel Mwakitalu (kulia) akikabidhi cheti kwa mshindi wa tatu wa tuzo za Ujasiriamali za Citi Foundation, Lydia Majoro wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.  Mjasiriamali mlemavu aliyefanya vyema Aneth Geraw ambaye aliondoka na kitita cha dola za Marekani 2000 …

Read More »