Friday , March 22 2019

Home / 2018 / April / 19

Daily Archives: April 19, 2018

MADAKTARI BINGWA WABAINI WAGONJWA ZAIDI YA 460 WA MOYO SONGWE

2

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo George Lyego Longopa Kutoka Taasisi ya Magonjwa ya Moyo ya Jakaya Kikwete akichukua maelezo ya mgonjwa wa moyo katika hospitali ya Vwawa-Mbozi. Afisa Muuguzi Kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Flora Kasembe akimpima shiniko la damu mwandishi wa habari Manuel Kaminyoge katika hospitali …

Read More »

RC RUVUMA AONGOZA KIKAO CHA WADAU WA CHANZO

IMG-20180419-WA0074

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe Christine Mndeme ameongoza kikao cha wadau wa Chanjo ambapo Mkoa unatarajia kutoa chanjo dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi kwa walengwa wapatao 28,676. Mhe Mndeme amesema Chanjo hiyo itawahusu watoto wa kike wenye umri kati ya miaka 9 mpaka 14 . Katika kikao …

Read More »

DIAMOND,NANDY WAOMBA RADHI KWA YOTE YALIYOTOKEA ,TCRA

TCRA-1

  Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ (kulia) akiongea na wanahabari, pembeni ni msanii mwenzake, Faustina Charles ‘Nandy’.   STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amesema kuwa kwa yale yote yaliomtokea ya kuachia video zilizokosa maadili kwenye mitandao ya kijamii amejifunza mengi na kwamba kilichotokea alikuwa …

Read More »

TCAA YAAGIZWA KUSIMAMIA USAFIRI WA ANGA

2

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (wa pili kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari wakati akitoa maelezo ya awali kabla ya ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi la Mamlaka hiyo, mjini Dodoma. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame …

Read More »

DStv Wamekuletea FIFA World Cup Chaneli Maalum Sasa!

Phase1_INS_04_DStv_FIFA_GEN_FB_TL+Ad_970x720_V1_Opt2_14Apr18

Wapenzi na wateja wa DStv, hii ni nafasi yenu sasa ya kufurahia msimu wa Kombe la Dunia kwani DStv wamekuletea chaneli maalum itakayokuwa ikirusha matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye historia ya Kombe la Dunia kuanzia ilipoanza mpaka sasa! Chaneli hii inapatikana sasa  kwa wateja wote wanaotumia  king’amuzi cha DStv, kupitia …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA MHE.WAZIRI MKUU BUNGENI LEO APRIL 19,2018

PMO_9645

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni mjini Dodoma Aprili 19, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Bumbuli na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia  Muungano na Mazingira, January Makamba, bungeni mjini Dodoma Aprili 19, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa …

Read More »

MSIINGIZE SIASA SUALA LA MABONDENI-MAJALIWA

PMO_9218

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa wajiepushe na tabia ya kuingiza siasa katika suala la kuwaondoa wananchi waishio mabondeni  kwa kuwa jambo hilo linafanywa kwa maslahi ya wananchi wenyewe.   Amesema wananchi wengi wamekuwa wakipoteza maisha na mali zao kila yanapotokea mafuriko, hivyo ni vizuri kwa viongozi wakiwemo wabunge …

Read More »

UKAGUZI BANDARINI HAULENGI KUWABAGUA WAZANZIBARI – WAZIRI MKUU

1

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ukaguzi unaofanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa wasafiri wanaokwenda Zanzibar, hauna lengo la kuwabagua bali ni kuimarisha ulinzi wa mipaka ya nchi.   “Hatulengi kuzuia biashara za wafanyabiashara ndogondogo, bali tunaimarisha ukaguzi ili kuzuia wasafirishaji wa dawa za kulevya, wasambazaji na wauzaji,” …

Read More »

Wasanii Nchini Waaswa Kuenzi Busara za Wazee

M1

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (KBF), Bi. Joyce Fissoo akizungumza alipokuwa ameambatana na Msanii wa Filamu nchini Yvonne Cherrie maarufu kama Monalisa kwa ajili ya kutoa shukrani kwa wajumbe wa kamati ya tamasha la muziki na sanaa za maonesho jana jijini Dar es Salaam. Shukrani hizo zimetokana na …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO APRIL 19,2018

6

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisisitiza  kuhusu umuhimu wa wananchi wanaoishi mabondeni kuhama katika maeneo hayo ili kuepuka maafa yanayotokana na mvua,  wakati akijibu maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Bungeni Mjini Dodoma, leo. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa …

Read More »

NDITIYE: SHULE ZA SEKONDARI KIBONDO ZAONGOZA UFAULU KITAIFA

JPEG. NA. 2

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (Mb) akipokea Mwenge wa Uhuru baada ya kuwasili kwenye jimbo lake la Muhambwe Wilayani Kibondo mkoani Kigoma Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa pili kushoto) akishiriki uzinduzi wa Kituo cha Afya cha Mabamba kilichopo kwenye jimbo lake …

Read More »