Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / April / 20

Daily Archives: April 20, 2018

OBC Yatoa Magari 15 kwa Wizara Ya Maliasili

IMG_0363

   Magari 15 yaliyokabidhiwa na Kampuni ya OBC ya Loliondo. Mkurugenzi idara ya wanyamapori, Nebbo Mwina akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari 15 aina ya Toyota Land cruiser yenye thamani ya shilingi Billion 1.5 yaliyotolewa na kampuni ya uwindaji ya OBC,ya Loliondo kwa ajili ya shughuli za kuzuia ujangili na …

Read More »

TUCTA MEI MOSI 2018 IRINGA ; HII NI HESHIMA KUBWA KWA MKOA WA IRINGA RC MASENZA

MASENZA-1024x768

Mkuu  wa mkoa wa  Iringa  Amina  Juma Masenza   Rais wa shirikisho la vyama huru vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Tumaini Vyamhokya katikati akiongoza kuimba wimbo wa wafanyakazi wakati wa kikao na  wanahabari mjini  Iringa . ……………………………………………………………………………………………………………………………….. Na  MatukiodaimaBlogWAKATI  maadhimisho ya  siku ya  wafanyakazi duniani  kwa nchini  Tanzania  yaliyoandaliwa na  shirikisho …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA MJINI DODOMA BUNGENI 20.4.2018

PMO_9827

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Wenyeulemavu, Antony Mavundebungeni mjini Dodoma Aprili 20, 2018. Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, akizungumza Bungeni mjini Dodoma Aprili 20, 2018 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya …

Read More »

TEWW Kuendelea Kushirikiana na Wadau Kukuza Elimu Nchini

1

Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) , Dkt. Kassimu A.Nihuka akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani)  juu ya dhana ya Elimu ya Sekondari nje ya mfumo rasmi, kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Karibu Tanzania Organization (KTO) Bw.Maggid Mjengwa. Mkurugenzi wa Karibu Tanzania Organization (KTO), …

Read More »

MTIBWA SUGAR YATINGA FAINALI YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

IMG-20180409-WA0035-640x427

  Magoli mawili ya kiungo mshambuliaji wa Mtibwa Sugar Hassan Dilunga yameipeleka fainali Mtibwa ya Azam Sports Federation Cup baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Stand United kwenye mchezo wa nusu fainali uliochezwa uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga. Dilunga amefunga magoli yote kipindi cha kwanza dakika ya …

Read More »

MATUKIO YA MHE.WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA LEO 20.4.2018

PMO_9927

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa, Abdallah Bulembembo, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2018, kutoka kushoto ni Mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa, wa kwanza kulia ni Mbunge wa Mtama, Nape Mnauye na wapili kulia ni Mbunge wa Sumbawanga mjini, Aeshi Hilaly. (Picha na Ofisi ya …

Read More »

JAFFO ATAKA DODOMA IWE (FRUITS CITY) MJI WA MATUNDA

Selemani-Jafo-Dodoma

Na Mahmoud Ahmad Dodoma Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tamisemi Suleiman Jaffo amewataka watendaji waliochini yake kuhakikisha wanahimiza wananchi kupanda miti ya matunda ndani ya mkoa wa Dodoma sanjari na Halmashauri ya manispaa ya Dodoma ili mji huo uwe mji wa matunda(Fruits City). Kauli hiyo ameitoa mwanzo mwa wiki …

Read More »

CCM Z’BAR YAWATAKA WANANCHI KUFUATA MAELEKEZO YA SMZ

DSC_0197

NYUMBA ya Farid Issa iliyoezuliwa na upepo na mvua katika shehiab ya Pwani mchangani. KATIBU wa NEC, Idara ya organazesheni Bakari Hamad Khamis akionyeshwa nyumba za shehia ya sebleni zilizoathiriwa na mvua. SHEHA wa shehia ya sebleni Khalfan Salum(wa kwanza kushoto) akitoa maelezo ya athari za nyumba zilizopata maafa katika …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BALOZI WA ITALIA NCHINI TANZANIA AMTEMBELEA SPIKA OFISINI MJINI DODOMA

pic 2

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akisalimiana na  Balozi wa Italia nchini Tanzania Mheshimiwa Roberto Mengoni wakati Balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akimsikiliza Balozi wa Italia nchini Tanzania Mheshimiwa Roberto Mengoni wakati alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Naibu Spika wa …

Read More »

WASIOLIPA KODI YA ARDHI KUCHUKULIWA HATUA

Kamishna Msaidizi wa Ardhi kanda ya Kaskazini Leo Komba akizungumza na Waandishi wa Habari

  Na Mahmoud Ahmad,Arusha.   Kamishna Msaidizi wa Ardhi kanda ya Kaskazini Leo Komba amesema kuwa serikali itawachukulia hatua wamiliki wa ardhi wasiolipa kodi ya ardhi kwa mujibu wa sharia ya ardhi Namba 4 ya mwaka 1999 hivyo amewataka kulipa kodi hiyo kwa wakati ili kuepuka kufikishwa mahakamani.   Akizungumza …

Read More »

LIGI KUU YA WANAWAKE YA SERENGETI PREMIUM LITE HATUA YA NANE BORA KUENDELEA WIKIENDI,SERENGETI YAGAWA MAVAZI RASMI KWA TIMU

WANA

Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premium Lite Hatua ya Nane Bora inatarajia kuendelea Wikiendi hii. Jumamosi Aprili 21,2018 zitachezwa mechi Tatu na mchezo mmoja utachezwa Jumapili Aprili 22,2018. Jumamosi Kwenye Uwanja wa Karume Evergreen watawakaribisha Alliance ,Wakati kwenye Uwanja wa Mbweni JKT Quenns watakuwa wenyeji wa Simba Queens nayo …

Read More »

BALOZI SEIF AKUTANA NA UONGOZI WA TAASISI YA FAWE

543

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kati kati akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Kiraia ya kumjengea uwezo wa Kielimu Mtoto wa Kike na Mwanamke ya Forum for African women Educationalist {FAWE} hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. Wa kwanza kutoka kushoto ni Mratibu wa …

Read More »

BENKI YA KILIMO TANZANIA KUFUNGUA OFISI ZA KIKANDA KWA AWAMU

Dkt. Ashatu Kijaji

Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma Serikali imeeleza kuwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) inatekeleza Mpango wa Miaka Mitano (2017- 2021), wa kusogeza huduma karibu na wateja kwa kuanzisha ofisi za Kikanda katika Kanda ya Kaskazini, Kusini, Kati, Ziwa, Nyanda za Juu Kusini na Zanzibar kwa awamu.  Hayo yameelezwa Bungeni …

Read More »

MAFURIKO JANGWANI KUPATIWA UFUMBUZI

IMG_2053

Baadhi ya Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) wakiwa kwenye majadiliano ya pamoja ambapo walizungumzia vipaumbele vinne, ikiwemo kuendeleza sekta ya viwanda pamoja na kukuza umoja wa kikanda katika sekta ya fedha na uwekezaji, mjini Washington DC Marekani. Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. …

Read More »