TIMU ya Simba SC imepunguzwa kasi baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Lipuli FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Samora mjini Iringa leo. Lipuli FC walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa mshambuliaji wao matat na pia Mchezaji bora wa …
Read More »Daily Archives: April 21, 2018
KIGWANGALA ATUMIA NGORONGORO MARATHON KUWATUMIA SALAMU MAJANGILI
PICHANI: Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala (fulana nyekundu) akiwa na uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) pamoja na baadhi ya washiriki wa mbio za Ngorongoro Marathon zilizofanyika leo Aprili 21, 2018. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya NCAA Profesa Abiud Kaswamila (namba 002), Mhifadhi Mkuu …
Read More »VIDEO: MAJIBU YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KUHUSU HOJA ZA WABUNGE
RC MAKONDA AZINDUA ZOEZI LA UTOAJI CHANJO YA KUZUIA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI DAR
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amezindua zoezi la utoaji wa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi (HPV) ikihusisha Wasichana wenye umri wa Miaka 14. RC Makonda amesema zoezi hilo litaanza rasmi Jumatatu ya February 23 likihususisha zaidi ya Wasichana 24,097 ambao watakaopata …
Read More »WAKALA WA VIPIMO WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WAKULIMA WA PAMBA KANDA YA ZIWA
Wakulima wa Pamba Mkoani Kagera wapata elimu namna ya kutambua mizani sahihi na ile isiyo sahihi pamoja na faida za kuuza Pamba kwa kutumia mizani iliyohakikiwa na Wakala wa Vipimo Kijiji cha Kagasha Kata ya Kyebitembe Wilayan Muleba Maafisa wa Wakala wa Vipimo wakitoa Elimu kwa Wakulima wa Pamba …
Read More »VIDEO-MAKAMBA: MUUNGANO NI URITHI WETU, TU UTUNZE
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akifungua kongamano la vijana kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vilivyopo mkoani Dodoma. Jumla ya Vyuo sita vimeshiriki katika Kongamano hilo lililofanyika katika Chuo cha Mipango, Dodoma na mada kuu ikiwa ni fursa zilizopo katika Muungano. …
Read More »UZALISHAJI WA CHAKULA NCHINI UMEIMARIKA-MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa magahala na vihenge vya kisasa katika eneo la Kizota mjini Dodoma Aprili 21, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu ………….. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini imeimarika …
Read More »KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Balozi wa China nchini, Mhe. Wang Ke kuhusu Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jukwaa la Ushirikiano wa Afrika na China (FOCAC) utakaofanyika mwezi Septemba, 2018 nchini China. Mkutano huo ambao utajadili …
Read More »MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA MJINI DODOMA.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwaongoza viongozi kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa maghala na vihenge vya kisasa kwenye eneo la Kizota mjini Dodoma Aprili 21, 2018. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Spika …
Read More »YANGA YAPANGWA KUNDI D KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA,WABABE WA SIMBA WATUPWA KUNDI LA KIFO B
Wawakilishi pekee wa Tanzania timu ya Yanga imepangwa kundi D katika Michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika safari hii itakutana na timu mbili ambazo zipo katika ukanda wa CECAFA pamoja na USM Alger kutoka nchini Algeria. Kila timu kwenye kundi itacheza mechi 6 ikiwa mechi 3 nyumbani na mechi …
Read More »BENKI YA DUNIA YAONESHA NIA KUSHIRIKI UJENZI RELI YA ISAKA-KIGALI
Ujumbe wa Tanzania (kulia) na ujumbe wa Benki ya Dunia (kushoto) wakiwa katika majadiliano ya miradi ya maendelea inayotarajiwa kuanza kutekelezwa mwaka ujao wa fedha. Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia kanda ya Afrika Bw. Makhtar Diop akitoa ufafanuzi wa miradi ambayo itatekelezwa na Benki ya Dunia kwa …
Read More »WAZIRI WA SHERIA WA ISRAEL ATAFANYA ZIARA YA SIKU TATU NCHINI KUANZA APRIL 22 HADI 24
Waziri wa Sheria wa Israel, Mhe. Ayelet Shaked atafanya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini kuanzia tarehe 22 hadi 24 Aprili, 2018. Akiwa nchini, Mhe. Waziri Shaked ambaye anaongoza ujumbe wa wafanyabiashara na wawakilishi wa makampuni kutoka Israel atashiriki Kongamano la Tano la Biashara kati ya Tanzania na Israel …
Read More »KIKOSI CHA SIMBA LEO DHIDI YA LIPULI
Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Lipuli FC, mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara leo April 21 2018 1. Aishi Manula 2. Nicolas Gyan 3. Asante Kwasi 4. Juuko Murushid 5. Yusuph Mlipili 6. Erasto Nyoni 7. James Kotei 8. Shomari Kapombe 9. John Bocco 10. Emmanuel Okwi 11. Shiza …
Read More »BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
Na Mwandishi Wetu Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia na kupitisha jumla ya Shillingi Billioni 898 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa mwaka wa fedha 2018/2019. Wakijibu hoja mbalimbali za wabunge kuhusu Bajeti ya Wizara …
Read More »DROO YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO KUFANYIKA LEO YANGA LAZIMA AWE KWENYE KUNDI NA MOJA YA TIMU HIZI
Raja Casablanca Droo ya upangaji wa timu zitakazokutana hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika inatarajia kufanyika Jumamosi ya leo Aprili 21 2018 Majira ya saa 8:30 mchana Mjini Cairo,Misri na itakuwa Live ZBC 2 Timu 16 zimefuzu kuingia makundi ya Shirikisho na kutakuwa na Pot mbili tu …
Read More »WAZIRI MWAKYEMBE APOKEA KWA MASIKITIKO TAARIFA YA KIFO CHA MWANAMUZIKI WA DANSI BW.KALAMBAY BISONGO
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwanamuziki mahiri wa Dansi Bw. Kalambay Bisongo kilichotokea tarehe 18 Aprili, 2018 katika hospitali ya Mloganzila jijini Dar es Salaam. “Nimesikitishwa na taarifa hizi za kifo cha Mwanamuzi mahiri wa …
Read More »NDITIYE APIGA MARUFUKU UMEME WA SOLKIT WILAYANI KIBONDO
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akihutubia wananchi wa kata ya Busunzu iliyopo jimboni kwake Muhambwe wilayani Kibondo mkoani Kigoma wakati akikagua maendeleo ye ujenzi wa kituo cha afya cha kata hiyo baada ya kushiriki mbio za mwenge wa uhuru wa kitaifa wilayani humo mkoani Kigoma Muonekano …
Read More »VIDEO QUEEN AGNES GERLAD “MASOGANGE” AFARIKI DUNIA
HATUNAYE TENA! Hiyo ndio kauli unayoweza kuielezea baada ya kuwepo kwa taarifa za kufariki dunia kwa video queen hot zaidi nchini na muigizaji wa filamu Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange. Ni ngumu kuamini kama Masogange amefariki dunia lakini huo ndio ukweli.Najua itakuchua dakika kadhaa kutafakari kifo cha binti huyo …
Read More »