Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / April / 22

Daily Archives: April 22, 2018

MSUVA AFUNGA BAO LA USHINDI DHIDI YA RAJA CASABLANCA

msuva jadida

WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva leo ameifungia bao la ushindi timu yake, Difaa Hassan El- Jadida ikiilaza 2-1  Raja Casablanca Uwanja wa Ben Ahmed El Abdi mjini El Jadida, Mazghan katika mchezo wa Ligi Kuu ya Morocco, maarufu kama Botola Pro.  Msuva alifunga bao hilo dakika ya …

Read More »

Vijana Waaswa Kulinda na Kudumisha Muungano

IND

Frank Mvungi- MAELEZO,  Dodoma  Vijana Nchini wametakiwa kulinda na kudumisha Muungano kwa Vitendo kwa manufaa ya kizazi hiki na kijacho  ikiwa ni sehemu ya kuonesha uzalendo. Akizungumza wakati wa Kongamano lililofanyika mkoani Dodoma  kuhusu Muungano lililowashirikisha  wanafunzi  zaidi ya 300 wa vyuo vya elimu ya juu mkoani  Dodoma Waziri wa …

Read More »

DK. FADHILI EMILLY MKURUGENZI WA FADHAGET AUNGA MKONO KWA VITENDO KAULI MBIU YA TANZANIA YA VIWANDA

2

Mkurugenzi wa Kampuni ya Fadhaget inayomiliki Kiwanda cha VirutubishoTiba Fadhaget Nutrition Science (kushoto),Fadhili Emily  aki pokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Viwanda vidogo vidogo(SIDO).Cheti hicho ni kwa ajili ya kutambuliwa kwa kiwanda chake ambacho amekabidhiwa leo jijini Dar es Salaam. Cheti chenyewe …………………………………………………………………… *Aishukuru Serikali,SIDO kwa …

Read More »

MASHINDANO YA OLIMPIKI 2020 NCHINI JAPAN KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA – DK. KIGWANGALLA

_DSC3505

  Na Hamza Temba-Ngorongoro, Arusha …………………………………………………………………………. Mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika nchini Japan mwaka 2020 yatatumika kunadi vivutio vya utalii vya Tanzania kupitia timu ya Taifa ya riadha na banda la maonesho ya utalii.   Hayo yameelezwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla wakati akizungumza na wananchi muda …

Read More »

UJENZI WA DARAJA LA PANGANI HUKO KIBAHA KUTUMIA MIL.100

IMG_20180407_125351

Ujenzi wa daraja linalounganisha kata ya Pangani Wilaya ya Kibaha na Mpiji Magohe wilaya ya Ubungo, umeanza utakaogharimu mil.100.(picha na Mwamvua Mwinyi) Diwani wa kata ya Pangani Agustino Mdachi (wa pili kulia) akizungumza na baadhi ya wananchi kuhusu ujenzi wa daraja linalounganisha kata ya Pangani Wilaya ya Kibaha na Mpiji …

Read More »

MBUNGE KINONDONI APIGA MARUFUKU UJENZI WA NYUMBA KATIKA MABWAWA

5

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa , mtaa wa Msisiri A Jumanne Mbena akielezea changamoto za mafuriko ambazo zimesababishwa na baadhi ya wananchi kujenga kwenye Bwawa Tengeneza lililopo eneo la Msisiri A kwa Mbunge wa jimbo la  Kinondoni Maulid Mtulia(CCM),akifanya ziara ya kukagua maeneo ambayo yamekumbwa  na mafuriko yaliyosababishwa na mvua …

Read More »

HATI YA KIWANDA CHA NYAMA SHINYANGA YAREJESHWA SERIKALINI

a

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina (mwenye miwani) akishuhudia utiaji saini wa hati ya makabidhiano ya Kiwanda cha nyama cha Shinyanga. Hati hiyo zilisainiwa na Mkurugenzi wa Ubinafsishaji na Ufuatiliaji Jones Mwalemba(aliyekaa upande wa kushoto) kutoka Hazina kwa upande wa Serikali na Balozi Fouad Mustafa (aliyeinama upande wa kulia) …

Read More »