Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / April / 23

Daily Archives: April 23, 2018

NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO UWANJANI

CD Awamu Ya Tano Uwanjani

Si wengine ni hile bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni ,inayoongozwa na mwanamuziki Kamanda Ras Makunja wenye makao yao nchini Ujerumani,bendi hiyo iliyojizolea umaarufu kila kona barani ulaya na kufanikiwa kuteka washabiki kwa kutumia muziki wao wa dansi wa bongo. Ngoma Africa band …

Read More »

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO

PMO_0077

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) – Managing Director and CEO, Ladislaus Matindi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Aprili 23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mbunge wa Mtera, …

Read More »

SPIKA EALA AIPONGEZA TANZANIA KWA MAENDELEO

PMO_0176

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Bunge la  Afrika ya Mashariki wanaoiwakilisha  Tanzania, Ofisini kwake mjini Dodoma Aprili 23, 2018.  Kutoka kushoto ni Josephine Lemoyan,  Happiness Lugiko, Mhandisi Habibu Mnyaa, Mariam Ussi Yahya, Alhaj Adam Kimbisa, Fancy Nkuhi na Dkt. Abdullah Hasnuu Makame. (Picha na Ofisi ya Waziri …

Read More »

UUZAJI VIWANJA 10,864 MANISPAA YA DODOMA WAZIDI KUSHIKA KASI

dom1

Mtaalam wa ramani wa Manispaa ya Dodoma akiwaonesha wateja vilipo viwanja. Mkuu wa Idara ya Ardhi Mipango Miji na Maliasili Joseph Mafuru (katikati) akishughulikia changamoto ya mteja. …………………………………………………………………………….. Na Ramadhani juma, Ofisi ya mkurugenzi Dodoma KAZI ya uuzaji wa Viwanja 10,684 imeendelea leo Jumatatu Aprili 23, 2018 katika eneo la …

Read More »

MZISIMAMIE NGOs ZIFANYE KAZI: MSAJILI NGOs

Pix 1

Mkurugenzi wa Idara ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali na Msajili wa Mashirika hayo Bw. Marcel Katemba akizungumza na Wasajili Wasaidizi wa Mashirka Yasiyo ya Kiserikali kutoka katika Halmashauri na Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam katika kikao baina yake na Wasajili Wasaidizi hao na wadau wa Mashirika Yasiyo ya …

Read More »

MILLION 55 ZATOLEWA KWA VIJANA NA WANAWAKE WAJASILIMALI RUANGWA

rua

Halmashauri ya Wilaya Ruangwa Mkoani Lindi kupitia Idara yake ya Maendeleo ya Jamii imetoa tsh milioni hamsini na tano laki tatu na elfu hamsini (55,350,000/=) kuwakopesha vikundi vya vijana na wanawake wajasiliamali WIlayani humo kwa lengo la kuwakwamua kiuchumi. Akizungumza katika ukumbi wa Rutesco WIlayani humo, kabla ya kukabdhi hundi …

Read More »

SPIKA EALA AIPONGEZA TANZANIA KWA MAENDELEO

1

    SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Dkt. Martin Ngoga ameishukuru na kuipongeza Serikari ya Tanzania kwa ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ukiwemo wa reli kwa sababu inaleta manufaa hata kwa nchi jirani. “Miradi hiyo ambayo kwa sasa inatekelezwa kwa kasi si kwamba inachochea ukuaji wa uchumi …

Read More »

JAJI MKUU WA ZANZIBAR MHE.MAKUNGU AWATAKA MAHAKIMU VISIWANI PEMBA WAFUATE SHERIA ZA MAHAKAMA

jaji

JAJI mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, amewauliza mahakimukisiwani Pemba, wamezitoa wapi sheria zinazowapa mamlaka yakuwalazimisha watuhumiwa kuwa na wafanyakazi wa serikali au barua zamasheha wanapoomba dhamana dhidi ya kesi zinazowakabili.   Alisema anashangaa kuona baadhi ya mahakimu hao, kuwawekea mashartimagumu watuhumiwa, kwa lengo la kutafuta sababu ya kuwapelekearumande, jambo …

Read More »