Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / April / 24

Daily Archives: April 24, 2018

TLS NI CHAMA CHA UMMA KIFANYE KAZI KWA MUJIBU WA SHERIA

DSC09032 (1)

Na Lydia Churi, Magreth Kinabo-Mahakama Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema Chama cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS) ni taasisi ya Umma na siyo binafsi hivyo amekitaka kutekeleza majukumu yake ya msingi ya kisheria kwa kushirikiana na Mahakama na kuacha kujiingiza kwenye masuala ya uanaharakati na siasa. …

Read More »

YALIYOJIRI LEO TAREHE 24 APRILI, 2018 BUNGENI MJINI DODOMA

V25A2422

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini …

Read More »

Rais Dkt. Magufuli; EAC Tunaweza Kujitegemea

8

Na Lilian Lundo – MAELEZO,Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Wanaafrika Mashariki kujiamini kuwa wanaweza kutekeleza miradi ya maendeleo bila kutegemea mataifa mengine. Rais Dkt. Magufuli ameyasema hayo leo Mjini Dodoma alipokuwa  akihutubia Bunge la Nne la Jumuiya ya Afrika Mashariki linalofanyika mkoani …

Read More »

MSANII DIAMOND KUTOA BURUDANI KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI

DIAMOND+2

 Msanii Diamond akiongea katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es alaam (katikati) ni Sealouise Shayo, Meneja wa Chapa ya Coca-Cola nchini (kulia) ni Meneja wake Sallam SK.  Msanii Diamond na Nahreel katika mkutano wa waandishi wa habari, wengine ni maofisa wa Coca-Cola na mameneja wa msanii Diamond. Maofisa …

Read More »

TIGO NA TECNO WAZINDUA SIMU JANJA YA TECNO CAMON X

MMG_0777

Meneja Uhusiano wa TECNO Tanzania, Eric Mkomoya (kulia) akionesha simu janja yenye uwezo wa 4G aina ya TECNO Camon X wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa simu hiyo mpya iliyofanyika katika ofisi za kampuni ya simu ya Tigo, jijini Dar es Salaam leo. Simu hiyo mpya ya TECNO Camon …

Read More »

SERENGETI BOYS KUPIGA NUSU FAINALI KESHO

DSC_0036

TIMU YA Taifa ya Vijana U17 (Serengeti Boys) kesho inatupa karata yake muhimu kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Kenya. Mchezo huo utachezwa saa 10 jioni kwenye Uwanja wa Muyinga nchini Burundi. Kufuzu hatua ya nusu fainali Serengeti Boys walitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Uganda kwenye mchezo …

Read More »

NGORONGORO HEROES YAREJEA,WAPEWA MAPUMZIKO SIKU TATU

Ngoro-Heroes

Timu ya Taifa ya Vijana U20 (Ngorongoro Heroes) imerejea nchini Leo ikitokea nchini DR Congo kwenye mchezo wake wa marudiano wa kufuzu fainali za Africa za Vijana U20 dhidi ya DR Congo. Wachezaji wa Ngorongoro ambao wamefanikiwa kuivusha timu hiyo kwenda raundi ya pili wamepewa mapumziko ya siku tatu kwa …

Read More »

MILANZI AFAGILIA JESHI LA WANANCHI KWA MCHANGO WAKE KATIKA UHIFADHI NA ULINZI WA MALIASILI NCHINI

sdr

  Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi akizungumza na wanajeshi wa nchi mbalimbali za Afrika ambao wapo nchini kujifunza mambo mbalimbali ya sekta ya utalii nchini na mchango wake kwenye uchumi na namna ambavyo jeshi linashiriki kwenye ukuaji wake.   Na Mwandishi Maalum-Dar es Salaam ……………………………………………………………………….. JESHI …

Read More »

Bara, Zanzibar Tusitumie Changamoto Zilizopo Kuharibu Muungano

index

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kufanya juhudi  mbalimbali ili kuhakikisha changamoto zilizopo katika Muungano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zinatatuliwa. Utatuzi huu unafanyika kwa njia ya vikao vya pamoja baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na …

Read More »