Wednesday , January 16 2019

Home / MCHANGANYIKO / YALIYOJIRI LEO TAREHE 24 APRILI, 2018 BUNGENI MJINI DODOMA

YALIYOJIRI LEO TAREHE 24 APRILI, 2018 BUNGENI MJINI DODOMA

V25A2422

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

V25A2469

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. 

V25A2462

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipongezana na Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. 

V25A2485

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

V25A2554

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na wageni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Ndg. Joseph Kusaga (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Ndg. Maharage Chande (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

V25A2600

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Ndg. Joseph Kusaga (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Ndg. Maharage Chande

V25A2632

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Ndg. Maharage Chande (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Ndg. Joseph Kusaga 

V25A2699

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutoka Bunge la Malawi Mhe. Kamlepo kalua (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu, Ndg. Thomas Makiwa

V25A2755

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutoka Bunge la Malawi pale ugeni huo ulipomtembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma, ukiongozwa na Makamu mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Kamlepo kalua (watatu kulia)

(PICHA NA OFISI YA BUNGE

About Alex

Check Also

5a-min

RC TABORA AIAGIZA KAMPUNI YA L AND T KUREKEBISHA KASORO UJENZI WA TANKI LA MAJI LA KIJIJI CHA IBELAMILUNDI

Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya kuchunguza ubora wa tenki katika Kijiji cha Ibelamilundi Injinia Damiani …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

eight + 12 =