Friday , October 19 2018

Home / 2018 / April / 25

Daily Archives: April 25, 2018

SERENGETI BOYS YATINGA FAINALI CECAFA U17 NCHINI BURUNDI

Serengeti Boys

TIMU ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imefanikiwa kuingia Fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA U17 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Kenya leo Uwanja wa Muyinga nchini Burundi. Haukuwa ushindi mwepesi kwa Serengeti …

Read More »

MAJALIWA AMTEMBELEA RC MSTAAFU ABBAS KANDORO HOSPITALI

PMO_0585

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Abbas Kandoro ambaye amelazwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma kwa matibabu, Aprili 25, 2018. Picha na ofisi ya Waziri Mkuu …………….     WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtembelea na kumpa pole Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Bw. Abbas Kandoro ambaye …

Read More »

MALARIA YASHUKA MPAKA ASILIMIA 7. 3 NCHINI

????????????????????????????????????

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akipokea maelezo kutoka kwa mwakilishi wa kianda cha kutengeneza vyandarua cha (A to Z) Textile Bw. Slyvester Kazi wakati wa maadhimisho ya siku ya Malaria Duniani ambayo kwa mwaka huu yanahadhimishwa leo Aprili 25 katika Wilaya ya Kasulu …

Read More »

WAKAZI WA KATA YA PANGANI WAJITOLEA KUJENGA S/SEKONDARI

IMG-20180425-WA0030

Msaidizi wa mbunge wa jimbo la Mjini Kibaha ,Method Mselewa (aliyeshika tofali) akiwaunga mkono wakazi wa kata ya Pangani ,katika zoezi la kujitolea kujenga shule ya sekondari Wakazi mbalimbali kutoka mitaa ya kata ya Pangani, Kibaha Mjini wakionekana pichani kujitolea katika nguvu kazi kujenga shule ya sekondari . Picha na …

Read More »

DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO

DSC_5493

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge  mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo jana ,ambapo anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania …

Read More »

PROF.MUSERU:AWATAKA WAFANYAKAZI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI WAENDELEE KUTOA HUDUMA BORA KWA WAGONJWA

????????????????????????????????????

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Prof. Lawrence Museru akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi la hospitali hiyo jana. Kushoto ni Katibu Msaidizi wa baraza hilo, Merina Rwechungura  na kulia ni Katibu wa Baraza hilo, Elineza Msuya. Wajumbe wakipitia makabrasha kwenye mkutano huo. Mwakilishi wafanyakazi wa hospitali hiyo, …

Read More »

WAZIRI MKUU NA MATUKIO KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

PMO_0463

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri , Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege, bungeni mjini Dodoma, Aprili 25, 2018. (Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya …

Read More »

RC Wangabo aonya kuhusu mimba mashuleni na Saratani ya mlango wa Kizazi

Toa mrejesho

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akimhoji mwanafunzi aliyepata chanjo Gift Ndenje wakati wa uzinduzi wa chanjo hiyo uliofanyika katika shule ya sekondari Mazwi 24/4/2018.  Baadhi ya wanafunzi wa kike waliopewa chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi. ……………………………………………………………………………. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewatahatharisha …

Read More »