Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / April / 26

Daily Archives: April 26, 2018

USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA MOROGORO WASHIKA KASI

IMG_20180425_133017

Afisa Msajili Mkoa wa Morogoro Ndg. Sererya Wambura (kulia\0 akiwa pamoja na Afisa Mchambuzi Mifumo ya Kompyuta wa NIDA Ndg. Rajabu Kabeya wakipitia ripoti za Usajili na Utambuzi wa watu za mkoa wa Morogoro. Ndg. Thabit Salum Likanyaga Mwenyekiti Serikali ya Mtaa wa Kilongo, Kata ya Mkundi akigawa fomu kwa …

Read More »

STEVE NYERERE AMTANGAZIA NEEMA MZEE MAJUTO KWA MATIBABU NCHINI INDIA

IMG_1377

Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza Steve Mengele ‘Steve Nyerere’ akimsalimia Mzee Majuto ambaye amelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza Steve Mengele ‘Steve Nyerere’ akiongea machache mara baada ya kumtembelea Mzee Majuto ambaye amelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam. Mzee Majuto akitoa …

Read More »

MIAKA 54 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

DSC_6949

Wimbo maalum wa muungano kutimia miaka 54 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipokea salamu ya heshma ya gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja  wa Jamhuri Dodoma katika kilelel cha maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanziibarleo Rais wa Zanzibar …

Read More »

TANGA: INAVYOKUA KIVUTIO CHA UTALII NCHINI TANZANIA

001

Na Jumia Travel Tanzania     Miongoni mwa mikoa maarufu nchini Tanzania ni pamoja na Tanga. Ukiachana na ukaribu wake na jiji la Dar es Salaam, mkoa wa Tanga una utajiri wa utamaduni wa Waswahili wanaopatikana katika pwani ya bahari ya Hindi, makumbusho ya kihistoria, shughuli za uchumi na kibiashara, …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWAONGOZA MAELFU YA WATANZANIA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZILIZOFANYIKA MKOANI DODOMA

4

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakati akipigiwa wimbo wa Taifa kabla ya kwenda kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa na vikosi mbalimbali vya Majeshi ya Tanzania katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar …

Read More »

RAIS MAGUFULI AITANGAZA MANISPAA YA DODOMA KUWA JIJI

magufuli

  Rais Dkt John Pombe Magufuli ameipandisha hadhi Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji kuanzia leo Aprili 26, 2018 katika sherehe ya miaka 54 ya Muungano . Na pia ameagiza michakato ya kisheria ianze mara moja na pia aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma ndiye atakuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma.  …

Read More »

TBL GROUP YAADHIMISHA WIKI YA USALAMA MAHALI PA KAZI

PICHA TBL ARUSHA 8

Wafanyakazi wa TBL Ilala wakifuatilia mafunzo Wafanyakazi wa Konyagi wakiwa na mabango yenye jumbe za usalama  Mtaalamu wa zimamoto akiwapiga msasa wafanyakazi wa TBL Arusha Wafanyakazi wa TBL Mbeya wakifuatilia mafunzo Wafanyakazi wa TBL Arusha wakifatilia mafunzo ……………….   Kampuni ya TBL Group, chini ya kampuni mama ya ,ABInBev imeweka …

Read More »

WENGER:NILILAZIMISHWA KUONDOKA ARSENAL

_101047149_ab6f36a9-a9ae-4c78-b404-42dc2125fae5

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa tangazo lililofanywa kuhusu kuondoka kwake katika klabu ya Arsenal siku ya Jumatano baada ya takriban miaka 22 haukuwa uamuzi wake. Ilitangazwa siku ya Jumatano kwamba raia huyo wa Ufaransa ataondoka katika klabu hiyo mwisho wa msimu huu licha ya kusalia na kandarasi ya …

Read More »

REAL MADRID YAIPIGA BAYERN MUNICH LIGI YA MABINGWA

1524686966709_lc_galleryImage_Real_Madrid_s_Marco_Asens

Marco Asensio akishangilia kibabe baada ya kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 57 ikiilaza 2-1 Bayern Munich usiku huu Uwanja wa Allianz Arena katika Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bayern Munich walitangulia kwa bao la Josh Kimmich dakika ya 28 kabla ya Marcelo kuisawazishia Real …

Read More »