Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / April / 27

Daily Archives: April 27, 2018

RC MAKONDA AWAPATIA WATOTO 2971 BIMA YA AFYA

Rc-Dar-Makonda

  IKIWA  leo ni siku ya 15 tangu Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda atangaze kuwasaidia watoto waliotelekezwa na baba zao, hatimaye watoto 2,971 wamepatiwa bima za matibabu ya afya bure, baada ya wazazi wao kutopatikana. Akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake, Makonda amesema kuwa mbali …

Read More »

MHE. DKT. KOLIMBA AKUTANA NA MSHINDI WA MISS UNIVERSITY AFRICA 2017

PIC 01

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba (kulia) akifafanua jambo kwa Miss World University Africa 2017 Bi. Queen Elizabeth Makune wakati alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dodoma. Bi. Makune ameshinda taji la Miss World University Afrika lililoshirikisha mataifa 53 ya Afrika nchini …

Read More »

WANAFUNZI DOM KUSOMEA CHINI YA MBUYU

IMG_0871

Picha ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mapinduzi wakiwa darasani chini ya Mbuyu. ………………… Na Mahmoud Ahmad Dodoma UHABA wa vyumba vya madarasa ni miongoni mwa changamoto inayoikabili shule ya msingi Mapinduzi iliyopo kata ya Chilonwa Kijiji cha Nzali Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma  ambayo hupelekea   wanafunzi hao   kukosa madarasa …

Read More »

VIJANA WAWILI WA KITANZANIA KUPELEKWA URUSI KUENDELZWA KISOKA

12593909_1156790464361308_7894936617004481226_o

Taasisi ya Lengo Football Academy yenye makazi yake Mkoani Arusha nchini Tanzania na Australia imeteua vijana wawili wa Tanzania wenye umri wa miaka 12 Laigwanani Lomayani Mollel na Ziporah Mollel katika mpango wake unaofahamika kama  Football For Friendship. Mpango huo wa Football For Friendship(F4F2018) umelenga katika vijana wadogo kuwa promoti,kuwakuza …

Read More »

KAIMU BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI, MHE. TAVENYIKA AZUNGUMZA NA WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA LEO MJINI DODOMA

V25A4096

Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe. Martin Tavenyika (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Tanzania wanaowakilisha Bunge la Afrika, Mhe. Asha Juma (kulia) walipokutana leo katika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma. Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe. Martin Tavenyika (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Wabunge …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA YA MHE.MAJALIWA KWENYE MECHI YA WABUNGE WA TANZANIA VS WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI UWANJA WA JAMHURI JIJINI DODOMA

5

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Sumve, Richard Ndasa, katika  mchezo wa mpira wa miguu kati ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma  Aprili 26, 2018, katikati ni Mbunge wa Ulyankulu, John Kadutu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa …

Read More »

WAZIRI KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA SAUDI ARABIA, KUWAIT NA MSIMAMIZI WA JUMUIYA YA MAKAMPUNI YA ALBAWARDI

CW4A0160

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Msimamizi wa Makampuni ya Albawardi, Fouad Mustafa ya Umoja wa Falme za Kirabu ofisini kwake Jijini Dodoma jana ambapo walijadili uwekezaji wa kuimarisha sekta ya utalii na uhifadhi nchini. Umoja huo umeahidi kutoa ushirikiano wa ujenzi wa barabara inayounganisha Hifadhi …

Read More »

Makabidhiano Ya Vyeti Vya shukrani

PIX 1

Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy J. Mwakatage (kulia) akimkabidhi cheti cha shukrani “certificate of appreciation” Meneja Mkuu wa Dar es Salaam Yacht Club (DYC) Bw. Brian Fernandes (kushoto)  kwenye hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Dar es Salaam Yacht Club Masaki Jijini Dar es Salaam …

Read More »