Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / April / 28

Daily Archives: April 28, 2018

RAIS MAGUFULI AMLILIA ABBAS KANDORO

kandoroo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya aliyewahi kuwa mwanasiasa maarufu na mkuu wa mikoa kadhaa nchini, Abbas Kandoro,  aliyeaga dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akitibiwa. Barua ya rambirambi hizo ni ifuatayo hapa chini:

Read More »

RMO,DMO TENGENI SIKU ZA UCHUNGUZI WA SARATANI-WAZIRI UMMY

IMG_0158

WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza leo Jijini Tanga wakati alipozindua kampeni ya chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi na uchunguzi wa saratani kwa wakina mama katika kituo cha Afya cha Ngamiani jijini hapa. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga ambaye ni Mkuu wa wilaya …

Read More »

SERIKALI KUENDELEA KUKOMESHA AJIRA HATARISHI ZA WATOTO

????????????????????????????????????

Waziri wa Nchi Ofisi (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na baadhi ya washiriki wa maonesho wakati wa maadhimisho ya Siku ya Afya na Usalama Mahali Pa Kazi Duniani Aprili 28, 2018 iliyoadhimishwa Kitaifa Mkoani Iringa. Waziri wa Nchi Ofisi (Sera, Bunge, Vijana, Ajira …

Read More »

KAMATI YA UCHAGUZI TASMA YASIMAMISHA UCHAGUZI

TFF-LOGO

Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Wataalamu wa Tiba ya Wanamichezo (TASMA),imehairisha uchaguzi wa Chama hicho uliokuwa ufanyike kesho Jumapili Aprili 29, 2018 mpaka hapo itakapotangazwa tena. Kamati hiyo ya uchaguzi wa TASMA chini ya Mwenyekiti wake Leslie Liunda imesema sababu kubwa ya kuhairishwa kwa uchaguzi huo ni kamati ya …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA KANDORO

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombelezo ya Marehemu Abbas Kandoro aliyefariki jana kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa pole mke Marehemu Abbas Kandoro, …

Read More »

UJMBE WA MAKAMPUNI YA PRIVINVEST NA ADVANCE MARTIME TRANSPORT KUKUTANA NA RAIS

DSC_7375

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akisalimiana na  Mwakilishi wa Makampuni ya “Privinvest” na Advance Martime Transport”(AMT) kutoka Dubai yanayotengeneza Meli aina mbali mbali Bw.Jean Boustany alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza …

Read More »

RAIS MAGUFULI AKEMEA MADEREVA WANAOACHA VILIO KWA KUTOFUTA SHERIA

JOHN+MAGU

Na Mahmoud Ahmad,Kondoa. Rais John Magufuli  amewataka watanzania kutunza miundombinu ya  barabara kwani mara nyingi barabara zinapojengwa zinakuwa ni chanzo cha ajali na kupelekea vilio miongoni mwa watanzania wengi wasio na hatia. Akifungua barabara ya Dodoma-Babati yenye urefu wa Km 251 march 27 katika eneo la Bicha njia panda ya barabara ya …

Read More »

MADIWANI MWANZA WAWEKA HISTORIA JIJINI DODOMA

MH

Diwani wa Kata ya Nyamagana Jijini Mwanza ambaye pia ni Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji hilo Mhe. Bhiku Kotecha (wa pili kushoto-mbele) akiwa na baadhi ya Madiwani na Wataalam wa Halmashauri hiyo walipotembelea Dampo la kisasa la kuhifadhia takataka lililopo eneo la Chidaya Jijini Dodoma jana. Mbele kushoto ni …

Read More »

MUHIMBILI KUPANDIKIZA FIGO WAGONJWA 200 KWA MWAKA

005

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo, Dkt. Jacqueline Shoo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akizungumza na waandishi wa habari leo baada ya wagonjwa wawili; Suzana Athanas John (22) na Asha Atuman Kisabengo (28) kupandikizwa figo kila mmoja na kuruhusiwa kurejea nyumbani leo. Kutoka kushoto ni mtaalamu katika vyumba maalumu …

Read More »

Ubalozi wa Tanzania Nchini Kenya Waadhimisha Miaka 54 Ya Muungano Wa Tanganyika na Zanzibar Ambayo Iliambatana Na Maonesho Ya Bidhaa Za viwanda Vya Tanzania

719A9723

Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Pindi Chana akiwakaribisha wageni waalikwa katika ufunguzi  wa siku ya Tanzania ambayo huadhimishwa tarehe 26 Aprili siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hafla ya maadhimisho hayo ilifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta Jijini Nairobi, Kenya.    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje …

Read More »

Tanzania Yajikita Kutumia Fursa Za Soko la Afrika Mashariki

719A9478

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda akiongea na wawakilishi kutoka kampuni ya Agricom Afrika Ltd walioshiriki maonesho ya bidhaa za viwanda vya Tanzania nchini Kenya yanayoendelea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta Jijini Nairobi, Kenya tarehe 27 Aprili 2018. …

Read More »

MKUU WA MKOA MSTAAFU, ABBAS KANDORO AFARIKI DUNIA

KANDORO

TANZIA: Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro amefariki dunia usiku huu wa Ijumaa, Aprili 27, 2018 katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alikokuwa amelazwa akipatiwa matibu. Kabla ya hapo, Kandorro alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Kabla ya kustaafu utumishi wake, Kandoro alikuwa …

Read More »

KONGAMANO LA TANZANIA YA VIWANDA LAFANA MKOANI IRINGA

????????????????????????????????????

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista akisalimia wajumbe waliohudhuria katika Kongamano la Tanzania ya Viwanda wakati wa maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi lililofanyika mkoani Iringa Aprili 27, 2018. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, …

Read More »

MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI BADO TISHIO RUKWA

IMG_20180427_120829

Afisa Maendeleo wa Mkoa Rukwa akitoa elimu ya namna ya kutokomeza mimba na ndoa za utotoni kwa wanafunzi wa shule saba za mjini Sumbawanga mapema leo mjini humo. Kampeini ya Kutokomeza mimba na ndoa za utotoni inatolewa Wizara ya Afya(Maendeleo ya Jamii). Picha zote na Wizara ya Afya. Afisa Maendeleo …

Read More »