Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / May

Monthly Archives: May 2018

JAFO AAGIZA KASI YA UJENZI KITUO CHA AFYA CHAMWINO

sl+1

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Chamwino  Athumani Masasi  Jengo la upasuaji linalojemgwa katika kituo cha afya chamwino  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA

Kamanda-wa-Polisi-Mkoa-wa-Mwanza-Ahmed-Msangi

MAJIRA YA SAA 16:00HRS JIONI KATIKA MTAA WA KILIMAHEWA “A” KATA YA NYAMANORO WILAYA YA ILEMELA JIJI NA MKOA WA MWANZA, WATU WAWILI WALIOFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1. SHEDRACK MUGWE, MIAKA 30, MKAZI WA MKOLANI NA 2.JOAS SYLVELIUS MIAKA 24, MKAZI WA NYASAKA, WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA …

Read More »

SERA YA TAIFA YA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA NI MKOMBOZI WA WANANCHI

9132

Na Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma Serikali ilizindua sera ya Taifa ya huduma ndogo za fedha ili kuhakikisha wakopaji wakiwemo wajasiriamali wadogo wanalindwa na kupata haki zao bila kudhurumiwa wanapo hitaji mikopo na huduma zingine za kifedha zitakazowasaidia kujiendeleza kiuchumi. Hayo yameelezwa Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na …

Read More »

Serikali Yatoa Milioni 700 kwa Vijana Mwaka 2017/18

1

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana – ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Juma Abubakari (aliyesimama mbele) akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha Jukwaa la Vijana Kitaifa cha vijana waliowezeshwa Kiuchumi kupitia mradi wa YEE unaofadhiliwa na Jumuiya ya Umoja wa …

Read More »

KINANA AMKABIDHI RASMI OFISI KATIBU MKUU MPYA DK. BASHIRU, LEO

1. DSC_1528

Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkabidhi ‘zana’ Katibu Mkuu mpya wa CCM Dk. Bashiru Ally, katika makabidhiano ya ofisi yaliyofanyika leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally akiwasalimia baadhi ya viongozi alipowasili, Ofisi Ndogo ya Makao …

Read More »

MNYETI AMPONGEZA MALINGA KWA KUSIMAMIA MAENDELEO

IMG-20180531-WA0131

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati, Hamis Malinga akishirikiana kuimba na kikundi cha ngoma cha utamaduni cha Kijiji cha Gijedabung wakati wakimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti alipotembelea kijijini hapo. Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Manyara, Martha Umbullah akizungumza juu ya kutambulika kwa jitihada …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA

1

Waziri wa Madini Mhe. Angellah   Kairuki akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Fedha ya Wizara hiyo kwa mwaka 2018/2019 leo Bungeni  Jijini Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Uratibu  Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akitoa maelezo  Bungeni kuhusu hatua …

Read More »

KOCHA ZINEDINE ZIDANE AJIUZULU KUIFUNDISHA REAL MADRID

4CC790FF00000578-5790617-image-a-57_1527765640722

Kocha Zinedine Zidane ametangaza kujizulu kuifundisha soka klabu ya Real Madrid ikiwa ni siku chache baada ya kuipa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya.h Zidane ameeleza kuwa kuwa kila kitu kinahitaji mabadiliko hivyo ni wakati wa mtu mwingine kuingoza klabu hiyo yenye historia kubwa katika nchi ya Spain. Kocha …

Read More »

TIBA JOHN TOKA NDANDA FC ASAINI MIAKA MITATU SINGIDA UNITED

33965541_604782569901525_1778935609591595008_n

    Uongozi wa Singida United umemtangaza Tiba John George kuwa mchezaji wake kwa kusaini naye mkataba wa miaka mitatu. George amejiunga na matajiri hao wa mjini Singida akitokea Ndanda FC kutoka Mtwara iliyojikwamua kuepuka kushuka daraja msimu uliomalizika. Mkurugenzi wa Singida United, Festo Sanga, amemtambulisha mchezaji huyo mbele ya …

Read More »

TANAPA WAMKABIDHI MNYETI ZAHANATI YA GIJEDABUNG

IMG-20180531-WA0096

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti akipanda mti kwenye eneo la zahanati ya Kijiji cha Gijedabung Wilayani Babati Mkoani Manyara, iliyojengwa kwa shirilingi milioni 83 ambpo shirika la hifadhi za Taifa (TANAPA) imechangia shilingi milioni 65 na nguvu za wananchi wa eneo hilo shilingi milioni 18. Mbunge wa viti …

Read More »

NDUGAI AFUNGUA MAONYESHO YA MADINI BUNGENI DODOMA

PIC 4

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitoa hotuba ya ufunguzi rasmi wa maonesho ya madini katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 31 mwaka huu. Wengine pichani (kutoka kulia), ni Waziri wa Madini Angellah Kairuki, Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko, Naibu Waziri wa Madini …

Read More »

Dkt. Mwakyembe : Atoa Rai kwa Kampuni ya Multichoice Kushirikiana na Wizara ya Elimu Katika Kukuza Elimu ya Sanaa

Pix 1

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na wadau wa sanaa na filamu (hawapo katika picha) wakati wa uzinduzi wa Multichoice Talent Factory iliyoandaliwa na Kampuni ya Multichoice Afrika jana Jijini Dodoma. Mkurugenzi Mtendaji Multichoice Afrika – Mashariki na Magharibi, Bw. Maharage Chande akieleza jambo kuhusu …

Read More »

NIC KUANZISHA BIMA YA KILIMO LENGO KUMPA USINGIZI MKULIMA- KAMANGA

IMG_5428

Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa la Tanzania (NIC), Sam Kamanga akizungumza jambo kuhusiana na bima ya majanga ,wilayani Kisarawe,Pwani Picha na Mwamvua Mwinyi ……………… Na Mwamvua Mwinyi,Pwani SHIRIKA la bima la Taifa la Tanzania (NIC) ,limelenga kuanzisha bima ya kilimo mwaka huu ,ambayo itasaidia kuwapa usingizi wakulima …

Read More »