Tuesday , January 22 2019

Home / 2018 / May / 01

Daily Archives: May 1, 2018

UTT AMIS PLC YASHEREHEKEA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

8H3H2127

Baadhi ya wafanyakazi wa UTT Amis PLC wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kushiriki kushiriki maandamano ya maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani.  Baadhi ya wafanyakazi wa UTT Amis PLC wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kushiriki kushiriki maandamano ya maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani.   Baadhi …

Read More »

RAIS MHE. DKT MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI IRINGA

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wafanyakazi katika Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoni Iringa. Wafanyakazi mbalimbali wakipita kwa maandamano katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa …

Read More »

KILELE CHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI WETE PEMBA

DSC_7981

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea maandamano ya Wafanyakazi wa Serikali na Sekta Binafsi katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa …

Read More »

WAOGELEAJI SABA WA TANZANIA WATAMBA KULETA MEDALI MICHEZO YA DUNIA

swimmers

Dar es Salaam. Waogeleaji saba wa Tanzania wametamba kufanya vyema katika mashindano ya dunia ya Shule za Kimataifa (ISF) yaliyopangwa kuanza leo mjini, Marrakesh, Morocco. Nahodha wa timu hiyo, Aaron Akwenda alisema hayo wakati wa kukabidhiwa bendera jana na serikali. Bendera hiyo ilikabidhiwa na Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo …

Read More »